Tunaelekea kuzimu chini ya utawala wa CCM!Maskini tanzania.
Hakuna kufeli!teh teh teh
Eti kufeli wanakuita ufaulu hafifu!
Matokeo makubwa sasa nchini yanawezekana hutaki hama nchi
A=75-100
B+=60-74
C=40-49
D=30-39
E=20-29
F=0-19
Division
1=7-17
2=18-24
3=25-31
4=32-47
5=48-49
hapo nani ashindwe na nani kasema wanasiasa wakipanga inashindikana.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums