Hakuna kufeli hapa ni kutiririka tu

Hakuna kufeli hapa ni kutiririka tu

HIMLER

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
429
Reaction score
221
Matokeo makubwa sasa nchini yanawezekana hutaki hama nchi
A=75-100
B+=60-74
C=40-49
D=30-39
E=20-29
F=0-19
Division
1=7-17
2=18-24
3=25-31
4=32-47
5=48-49
hapo nani ashindwe na nani kasema wanasiasa wakipanga inashindikana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Je kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma kabla Sheria hii kupitishwa ya matokeo na division zao watabadilishiwa au inchi moja na aina ya vyeti na ufaulu tofauti? Mfano mwaka 2000 nilipata division three ya point 23' kupitia mabadiliko natakiwa nisomeke dision two Je hili wadau litakuwaje hapo?
 
Hakuna kufeli!teh teh teh

Eti kufeli wanakuita ufaulu hafifu!
 
Tuyaache MACCM yafanye vituko vya mwisho mwisho!
 
Matokeo makubwa sasa nchini yanawezekana hutaki hama nchi
A=75-100
B+=60-74
C=40-49
D=30-39
E=20-29
F=0-19
Division
1=7-17
2=18-24
3=25-31
4=32-47
5=48-49
hapo nani ashindwe na nani kasema wanasiasa wakipanga inashindikana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Nimesoma hii kitu yako nimeanza kutapika. Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wana haki ya kututenga, maana wana jirani asiyeeleweka nusu mzima nusu mgonjwa.
 
Back
Top Bottom