Hakuna kundi lililo safi ndani ya CCM, kwa sasa wanachafuana wenyewe kwa wenyewe

Hakuna kundi lililo safi ndani ya CCM, kwa sasa wanachafuana wenyewe kwa wenyewe

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Sasa ni rasmi ndani ya CCM kuna makundi 2 makubwa, lililo madarakani (Team ⁉️⁉️) na lile lililoondolewa madarakani (Team JPM✔️).

🩸Bashiru akiwa katibu mkuu CCM aliweza kugundua jinsi baadhi ya wanachama wahuni walivyokua wanajinufaisha binafsi na mali za chama.

🩸Ufanisi na uzalendo uliotukuka ulimvutia hayati JPM na kumfanya ampandishe cheo Balozi Bashiru kuwa KMK.

Ufisadi uliobainishwa na Bashiru:

💥Abdi Bula aka Ustadh Bula: Huyu aliuza shule 6 za wazazi na shule moja alimuuzia Katelephone, vijana wanne wa Kamati walipoenda kuhoji walifanyiwa fujo nzito.

💥EL White Hair Monk: Huyu ambaye almanusura awe rais wetu(Asante Mola kwa kuepusha tufani), yeye alijimilikisha Channel 10 kwa asilimia 100 na pesa ya faida ilingia kwenye account zake binafsi.

💥February Maropee: Mwamba huyu hapa ntu ya dili. Marope aliuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na chama na pesa zote ziliingia kwenye akaunti yake binafsi.

💥Napesii Nangali: Mtaalamu wa spinning. Napesii baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM.

💥Xaka Handsome Xaka aka sauti binafsi ya Mama: Xaka Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000.

💥Six MaDonkey aka Kiwavi cha Mbinga: MaDonkey alihusika na Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbilo

Gazeti la Raia mwema, Majira, Tanzanite na Mwananchi waliwahi kuchapisha habari hii.

Kumchukia Bashiru kwa kuwa mkweli hakujaanza leo.
 
20221120_202753.jpg
 
Bashiru kamwaga mafuta nyoka wote wametoka shimoni!

Kila kona ni Bashiru tu
 
Back
Top Bottom