Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
HAKUNA LEGACY YOYOTE UTAKAYOACHA ÀMBAYO ITAFIKA MWAKA 3000 LABDA KIDÔGO KWA BAHATI LEGACY YA KIZAZI CHAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Siô kama nakukatisha tamaa Wala hata. Mimi nakuambia tuu uhalisia kuwa msamiati legacy NI namna ya kufariji Watu waone kile wanachofanya kina maana na Maisha yao yanatija. Ilhali kiuhalisia Maisha ni Ubatili mtupu.
Kama unajenga Miundombinu au miradi ili kubakiza kumbukumbu au Kile kiitwacho Legacy ndugu yàngu pokea Pole yàngu
Kufikia Mwaka 3000 Hakuna chochote ambacho unakiona Sasa hivi ambacho kitakuwepo.
Siô Magari, siô Barabara, siô magorofa, siô viwanda n.k.
Kidôgo wàpo wachache ambao wataacha Legacy ya vizazi vitakavyofanikiwa kufikia Mwaka 3000.
Nchi Karibu zote unazoziona ifikapo Mwaka 3000 hazitakuwa na majina ya namna hii tuliyonayo, NI aidha zisambaratike, au kugawanyika na kuzalisha vinchi vingine au ziungane na kuzalisha nchi zingine. Possibility kûbwa NI nchi nyingi kugawnyika vipande vipande kuliko kuungana.
Miaka elfu tatu ijayo siô ajabu vijiji unavyoviona hivi Leo ndîo vitakuwa Vinchi. Yàani Dunia itakuwa inarudi ilipotoka.
Vitabu, Mashairi, Riwaya, na maandiko yôte ya Sasa asimilia 99.99% yatafutika na hayatakuwa na maana yoyote Kwa nyakati hizi. Hakuna legacy kîla kitu kilichopita kitakuwa kimepita na hakuna atakayekipa maana yoyote.
Watu wôte mashuhuru unaowajua hivi Leo ukiwemo wewe na Mimi Miaka 3000 ijayo Hakuna yeyote àmbaye atakuwa akitufahamu. Siô ajabu jina Lako likitajwa wanaweza Kutoa nadharia kuwa hukuwepo Wengine wakisema ni hadithi za kufikirika.
Pîcha Karibu zote zinazopigwa hivi Leo Miaka 3000 ijayo hazitakuwepo. Wàpo wachache pîcha zào zitafanikiwa kuwepo lakini ni 0.001% tuu.
Kîla kitu kitapotea.
Kîla Mtu atapotea na hatakumbukwa tenà yeye na mambo yake yôte.
Legacy itakayobaki niya Yule Mmiliki wa Dunia na Wakati
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam