Hakuna Legacy yoyote utakayoacha ambayo itafika mwaka 3000 labda kidogo kwa bahati Legacy ya kizazi chako

Hakuna Legacy yoyote utakayoacha ambayo itafika mwaka 3000 labda kidogo kwa bahati Legacy ya kizazi chako

HAKUNA LEGACY YOYOTE UTAKAYOACHA ÀMBAYO ITAFIKA MWAKA 3000 LABDA KIDÔGO KWA BAHATI LEGACY YA KIZAZI CHAKO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Siô kama nakukatisha tamaa Wala hata. Mimi nakuambia tuu uhalisia kuwa msamiati legacy NI namna ya kufariji Watu waone kile wanachofanya kina maana na Maisha yao yanatija. Ilhali kiuhalisia Maisha ni Ubatili mtupu.

Kama unajenga Miundombinu au miradi ili kubakiza kumbukumbu au Kile kiitwacho Legacy ndugu yàngu pokea Pole yàngu

Kufikia Mwaka 3000 Hakuna chochote ambacho unakiona Sasa hivi ambacho kitakuwepo.

Siô Magari, siô Barabara, siô magorofa, siô viwanda n.k.

Kidôgo wàpo wachache ambao wataacha Legacy ya vizazi vitakavyofanikiwa kufikia Mwaka 3000.

Nchi Karibu zote unazoziona ifikapo Mwaka 3000 hazitakuwa na majina ya namna hii tuliyonayo, NI aidha zisambaratike, au kugawanyika na kuzalisha vinchi vingine au ziungane na kuzalisha nchi zingine. Possibility kûbwa NI nchi nyingi kugawnyika vipande vipande kuliko kuungana.

Miaka elfu tatu ijayo siô ajabu vijiji unavyoviona hivi Leo ndîo vitakuwa Vinchi. Yàani Dunia itakuwa inarudi ilipotoka.

Vitabu, Mashairi, Riwaya, na maandiko yôte ya Sasa asimilia 99.99% yatafutika na hayatakuwa na maana yoyote Kwa nyakati hizi. Hakuna legacy kîla kitu kilichopita kitakuwa kimepita na hakuna atakayekipa maana yoyote.

Watu wôte mashuhuru unaowajua hivi Leo ukiwemo wewe na Mimi Miaka 3000 ijayo Hakuna yeyote àmbaye atakuwa akitufahamu. Siô ajabu jina Lako likitajwa wanaweza Kutoa nadharia kuwa hukuwepo Wengine wakisema ni hadithi za kufikirika.

Pîcha Karibu zote zinazopigwa hivi Leo Miaka 3000 ijayo hazitakuwepo. Wàpo wachache pîcha zào zitafanikiwa kuwepo lakini ni 0.001% tuu.

Kîla kitu kitapotea.
Kîla Mtu atapotea na hatakumbukwa tenà yeye na mambo yake yôte.

Legacy itakayobaki niya Yule Mmiliki wa Dunia na Wakati

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Umenikumbusha Nchi za Vandali, Astrogoths na Heruli za Ulaya zilipotea kwenye Ramani na wala sio zamani ni kati ya Mwaka 350 hadi 400 tu B.K
 
Watapotea vipi mkuu ?

Mbona Leo hii tunasoma mambo yalioandikwa mwaka 500

Unafikiri haya tunayoyasoma NI yôte yaliyoandikwa kipindi hicho?

Siasa na tawala za Wakati huu ndîzo zinaamua vitabu gàni viwepo mtaani. Na vipi visiwepo.

Miaka 200 ijayo mambo meñgi yatabadilika Sana. Hata siasa zitakuwa tofauti Kabisa naza Leo. Hata nchi zitakuwa tofauti na nchi za Leo.

Mandela na Nyerere Wanasomwa Kwa sababu bado nchi y Afrika Kûsini na Tanganyika zîpo. Siku zikianguka nao majina Yao yameishia hapo
 
Mfano MTU aliyepigwa mtungo tangu ameanza Ku-trend Mimi sijamfatilia wala kumuona Ila mpaka muda huu

Ila asilimia kubwa ya wanaomiliki smart phone wameshaipata video yake.

Maana yake MTU anayepangiwa asome nini au afatilie nini huyo anakuwa hajui anataka nini .

So kwa watu makini wapo watakao itafuta historia ya Mtibeli na kumsoma na kunafaika na legacy

Wewe mwenyewe huwa kuna vitabu unasoma na vimeandikwa 200 yrs ago
 
NI kwèli Kwa upande mmoja lakini upande Mwingine NI kuwa mambo yôte unayoyaona Hapa yatatoweka. Ingawaje Yapo yatakayo Chelewa kufutika.

Ila vizazi vya binadamu ndîo hudumu Kwa Miaka mingi zaidi kuliko kitu chochote kilichoundwa na mtu
 
Absolute

Hapo tumekubaliana Sana

Mandela kitu kilichomjenga Sana ni kutoka gerezani na Ku was a me he makaburu.

Pale aliposema "Kumchukia MTU ni sawa na kunywa sumu huku ukiwa na imani hiyo sumu itamuua MTU mwingine".

So mambo intangible yanadumu kuliko tangible
 
Yeah ni kwèli.
Huwezi amini mpaka kina Newton na Albert Einstein watafutika Kabisa ingawaje Kwa kuchelewa
 
Ni kwèli Kabisa
Fikiria kwèñye population ya Miaka hiyo waliofanikiwa majina Yao kutoboa kizazi chetu ni wangapi?
Ili kuacha Legacy ya miaka zaidi ya Elfu, inabidi ufanye mambo makubwa sana katika Level za dunia katika nyanja tofauti tofauti mfano siasa, sayansi, michezo n.k sio tu kuwa maarufu.Mfano unaweza kuwa Rais ila pia wako marais wangapi? Kipi kinakutofautisha? Au huenda baada ya miaka 1000 nchi ya Tanzania isiwepo. Mfano Isack Newton aliyegundua gravity ataendelea kuwa na Legacy, kwa sababu Gravity ipo na itakuwepo atleast for billions of years.
 
Hao ni 0.00001% ya wanadamu walioishi enzi zao.
Kweli.Ili kuacha Legacy ya miaka zaidi ya Elfu, inabidi ufanye mambo makubwa sana katika Level za dunia katika nyanja tofauti tofauti mfano siasa, sayansi, michezo n.k sio tu kuwa maarufu.Mfano unaweza kuwa Rais ila pia wako marais wangapi? Kipi kinakutofautisha? Au huenda baada ya miaka 1000 nchi ya Tanzania isiwepo. Mfano Isack Newton aliyegundua gravity ataendelea kuwa na Legacy, kwa sababu Gravity ipo na itakuwepo atleast for billions of years.
 
Ili kuacha Legacy ya miaka zaidi ya Elfu, inabidi ufanye mambo makubwa sana katika Level za dunia katika nyanja tofauti tofauti mfano siasa, sayansi, michezo n.k sio tu kuwa maarufu.Mfano unaweza kuwa Rais ila pia wako marais wangapi? Kipi kinakutofautisha? Au huenda baada ya miaka 1000 nchi ya Tanzania isiwepo. Mfano Isack Newton aliyegundua gravity ataendelea kuwa na Legacy, kwa sababu Gravity ipo na itakuwepo atleast for billions of years.

Sio ajabu Miaka 3000 ikabainika Hakuna kitu kinaitwa Gravitation force. Hii ni Dunia Mkûu😃😃
 
Sio ajabu Miaka 3000 ikabainika Hakuna kitu kinaitwa Gravitation force. Hii ni Dunia Mkûu😃😃
Sidhani mkuu 😄 yaani hapo ni sawa na kusema baada ya miaka 1000 ikabainika hakuna "Earth/Dunia" sasa maana yake hakuna tena binadamu kwa hiyo Legacy ni meaningless. Pia mambo ya science ni universal concepts. Mfano wanaposema speed ya mwanga ni 300,000km/s maana yake ni standard ya universe yote. Au wanaposema nyota yetu ya jua litakuwepo mpaka miaka bilioni 5 maana yake tayari wameshafanya tafiti za kutosha kuhusu maisha ya nyota.
 
Earth Ipo na inathibitika lakini gravitation force haithibitiki zaidi ya nadharia tuu.
 
Earth Ipo na inathibitika lakini gravitation force haithibitiki zaidi ya nadharia tuu.
Uwepo wa Earth unathibitisha uwepo wa gravity mkuu. Anyway hata tukiacha hilo la Newton, Tuje kwa Legacy Einstein, E = MC²
Hiyo ndiyo formula inayolisha ulimwengu.Maana yake hata uhai duniani unatokana na hiyo formula.Siku ambayo hiyo formula haitazungumzwa maana yake hakuna tena uhai.Hizo ndizo lifetime legacy!
 
Don't underestimate the power of internet this is information age ..
 
Miaka elf 3 ni mingi mno just miaka 100 hapo mbele…Legacy uchwara zitakua mwishoo
 
Back
Top Bottom