Hakuna ligi ngumu kama ligi ya Championship ya Uingereza

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Nasema hivi kwa maana kuna vilabu vilikuwa vizuri sana Ligi kuu ya Uingereza ila viliposhuka tu daraja mpaka leo havijarudi Ligi kuu.

Leads United, unaikumbuka? Enzi akiwepo Mark Viduka, Will Smith ilikuwa timu iliyofika mpaka robo fainali ya UEFA miaka ya nyuma ili imepotea mpaka leo.

Blackburn Rovers enzi za.akina J. J Okocha, Akaya Diof ila imepotea. Shelfield Wednesday mpaka leo imeshindwa kurudi Ligi kuu. Coventry City wakati wa Mustapher Haggi na David Ginola imepotea mpaka leo. Ni nomaa!

Hata Arsenal na Manchester zikishuka ligi kuu hazirudi kamwe.
 
Umenikumbusha Wimbledon hawa watu walikuwa kiboko kina ekoku blacks walikuwa kibao sijui wapo daraja gani kama sio la kamba basi la mnazi.
 
kwa sasa awazi hata kupanda championship. anapigania kubaki league one. yupo sawa aneyeshika nafasi ya 21, amewadi point 1 aneshika nafasi ya 22, 23
Ama kweli enzi kitu cha kwisha nawakumbuka kina jason euell ilikuwa khatari sana
 
Nasema hivi kwa maana kuna vilabu vilikuwa vizuri sana Ligi kuu ya Uingereza ila viliposhuka tu daraja mpaka leo havijarudi Ligi kuu.

Leads United, unaikumbuka? Enzi akiwepo Mark Viduka, Will Smith ilikuwa timu iliyofika mpaka robo fainali ya UEFA miaka ya nyuma ili imepotea mpaka leo.

Blackburn Rovers enzi za.akina J. J Okocha, Akaya Diof ila imepotea. Shelfield Wednesday mpaka leo imeshindwa kurudi Ligi kuu. Coventry City wakati wa Mustapher Haggi na David Ginola imepotea mpaka leo. Ni nomaa!

Hata Arsenal na Manchester zikishuka ligi kuu hazirudi kamwe.
Wewe jamaa hakika unajua .
 
Back
Top Bottom