ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 509
- 655
Nasema hivi kwa maana kuna vilabu vilikuwa vizuri sana Ligi kuu ya Uingereza ila viliposhuka tu daraja mpaka leo havijarudi Ligi kuu.
Leads United, unaikumbuka? Enzi akiwepo Mark Viduka, Will Smith ilikuwa timu iliyofika mpaka robo fainali ya UEFA miaka ya nyuma ili imepotea mpaka leo.
Blackburn Rovers enzi za.akina J. J Okocha, Akaya Diof ila imepotea. Shelfield Wednesday mpaka leo imeshindwa kurudi Ligi kuu. Coventry City wakati wa Mustapher Haggi na David Ginola imepotea mpaka leo. Ni nomaa!
Hata Arsenal na Manchester zikishuka ligi kuu hazirudi kamwe.