Sina hakika kama unajua kinachoongelewa hapa.Oyo ligi ambayo hata ka Leicester kanakua bingwa
ipo League One nafasi ya 20. kazipita timu 4 tu kwenye msimamo wa League One.Umenikumbusha Wimbledon hawa watu walikuwa kiboko kina ekoku blacks walikuwa kibao sijui wapo daraja gani kama sio la kamba basi la mnazi.
Hao tena kuja EPL sio leoipo League One nafasi ya 20. kazipita timu 4 tu kwenye msimamo wa League One.
kwa sasa awazi hata kupanda championship. anapigania kubaki league one. yupo sawa aneyeshika nafasi ya 21, amewadi point 1 aneshika nafasi ya 22, 23Hao tena kuja EPL sio leo
azungumzii Premier league, anazungumzia championship leagueOyo ligi ambayo hata ka Leicester kanakua bingwa
Ama kweli enzi kitu cha kwisha nawakumbuka kina jason euell ilikuwa khatari sanakwa sasa awazi hata kupanda championship. anapigania kubaki league one. yupo sawa aneyeshika nafasi ya 21, amewadi point 1 aneshika nafasi ya 22, 23
Wewe jamaa hakika unajua .Nasema hivi kwa maana kuna vilabu vilikuwa vizuri sana Ligi kuu ya Uingereza ila viliposhuka tu daraja mpaka leo havijarudi Ligi kuu.
Leads United, unaikumbuka? Enzi akiwepo Mark Viduka, Will Smith ilikuwa timu iliyofika mpaka robo fainali ya UEFA miaka ya nyuma ili imepotea mpaka leo.
Blackburn Rovers enzi za.akina J. J Okocha, Akaya Diof ila imepotea. Shelfield Wednesday mpaka leo imeshindwa kurudi Ligi kuu. Coventry City wakati wa Mustapher Haggi na David Ginola imepotea mpaka leo. Ni nomaa!
Hata Arsenal na Manchester zikishuka ligi kuu hazirudi kamwe.