Hakuna lockdown, Basi tuonyesheni mipango

Mzee huwezi weka lockdown wakati mwenye nchi hataki tatizo lipo hapo,ukimwangalia ummy na majaliwa wanaongea sura zikiwa uncomfortable
 
Kama unaitamani lockdown usisubiri serikali ikwambie jipige we mwenyewe tu hakuna tatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Marekani imewashinda wanawaza kuachia watu wafanye kazi.

Sasa Tz mtakuwa mnaokota watu barabarani waliokufa kwa njaa na vipigo vya polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Marekani wanafikiria kuruhusu Watu watoke "lockdown" WANAFIKIRIA.
Wanapojiridhisha kuwa WAMEFANIKIWA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI MAPYA.

Hawajashindwa "lockdown"
 
Serikali ya awamu ya 5 ilikuwa inakusanya na kutumia kwenye miradi mikubwa, kulipa madeni ya nje na ndani pamoja na kulipa watumishi wake.
Kapu halikufanikiwa kutunza fedha.
Sasa government ikifanya hiyo kitu italeta athari kubwa zaidi economically.Na mnajua uchumi ukianguka hata sekta za afya zitafall na kuweza kuleta vifo vingi zaidi ya vile ambavyo vingesababishwa na COVID19. Serikali imeona ni heri shughuli ziendelee ili tukusanye chochote kitu na miamala kwenda kwa watumishi na maeneo mengine iendelee.
Kwa upande wangu siihitaji lockdown kwasasa. Tuzidishe umakini katika kila jambo kwa kuzingatia kanuni za afya.
Viva Magufuli, viva Tanzania.
 
Kwani kulikuwa na lockdown?
 
Si nilisikia kua tuna akiba ya pesa ya kutosha kua tunaweza kukaa zaidi ya miezi 6 bila kufanya kazi, VIP tena zile pesa zimeenda wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani imewashinda wanawaza kuachia watu wafanye kazi.

Sasa Tz mtakuwa mnaokota watu barabarani waliokufa kwa njaa na vipigo vya polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani haijawashinda. Ni wananchi wa jimbo moja tu ambao ni asilimia ndogo ya wananchi kidogo sana.
Tofauti na sisi wenzetu wanajiweza.
Kwa hali mbaya waliyonayo.. wakiachia watu maambukizi yatazid mara 10 zaid waliyonayo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uhalisia kwenye maelezo ya JP
Kimsingi tunacheza kamari.

Tutathimini julai na August
 
Serikali imegoma kutuonesha mipango


Kilichobaki ni kuonyesha nguvu ya umma kwenye uchaguz
 
Hatua zimechukuliwa na mamlaka husika na wanaendelea kusimamia utekelezaji wake.

Timiza wajibu wako kwa kuwa uamuzi wa kujikinga maambukiza ni wako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…