Uko pale ukiwa unajua kabisa mwenye nafasi yake anakuja....Kwani Mkodisho FC uko nafasi ya ngapi..!? ligi kuu
heri yako hata wewe umesoma mie nimeskip tu..Maneno meengi pumba tupu kama mlizoea kusomesha watoto zenu kwa ajili ya simba sasa basi acha MO atupeleke mbali zaidi ya apa