Windson
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 210
- 420
Mahusiano ya aina hii yapo wakuu,
Unakuta mtu unampenda dem, halafu akishajua unampenda yeye anataka kukuona unateseka kwa ajili yake, utampa zawadi utasaizia familia yao lakini akiona hauteseki anajua bado haumpendi, ila akiona unefikia level yeye anavaa vizuri halafu wewe umekosa hata kujinunulia nguo nzuri hapo ndo anasema unampenda
Aina hii ya mahusiano huwakuta hasa wale wanapata wapenzi walioumizwa sana na watu wanaowapenda, au wale wanaotafuta wanawake waliolelewa na mzazi mmoja hasa mama pekeyake, utakuta mdada ameshajenga chuki na Baba yake, sasa ili kulipizia kisasi ataamua akuumize wewe unayempenda ili umuoe, utaona kila unachokifanya yeye haridhiki, ila akikuona unateseka hapo ndio furaha yake