Hakuna mahusiano ya "kawaida" tena?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Sijui ni mimi tu au ndio watu wameanza kunogewa na mahusiano ya mapenzi ambayo tunaweza kuyaita si ya kawaida. Nimefuatilia threads nyingi kwa wiki kadhaa sasa na nimekuta zenye kuvutia sana ni ziile ambazo zina dalili ya mahusiano yasiyo ya kawaida. Yaani, watu wanakuja na stori mbalimbali za mahusiano ambayo yanakaribia kuvuka mpaka wa weird na kuwa sexual perversion.

Mara mtu kamtamani baba mkwe
Mara mama mkwe anakula chabo
Mara fulani kalala na dada wawili
Mara Kijana kalala na dada yake
Mara kaka kaota anachakachuana na dada zake
Mara baba kamnunulia chupi binti yake
n.k

Ninajiuliza hizi ni fantasy tu za incest au ni kweli sasa tumeanza kuvuka mpaka wa mahusiano ya kawaida kiasi kwamba ukiwaona dada na kaka wanatembea na kuchekeana unaanza kuhisa wanaumana na kutafunana; ukikuta baba anamkumbatia binti yake kwa ku-hug unafikiria labda usiku anachombezwa! Yawezekana kuna tatizo mahali fulani ambapo watu wanaanza kupoteza mipaka ya miiko ya kingono (sexual morality) na sasa imekuwa kile mtu anatamani au ni njozi tu za mapenzi watu wanaanza kukifanyia kweli. yaani, tunaanza kuvunja vunja mipaka yote ya kimapenzi na kile "mundu ave na vake"! hata kama huyo "wake" ni mtu wa miiko.

Labda ninachouliza kwa maneno machache, je miiko ya mapenzi ipo tena au ndio kula kulaana?

Vinginevyo itabidi tuwaombe ma MoDs waanzishe aidha mada ya watu wa mahusiano ya kawaida au watu wenye njozi za ajabu ajabu wajifungie humo ndani. I'm just saying. Wengine bado na uzee tunataka mambo ya boy meet girl, girl meet boy, boy's heart broken, girl cry.. just the old fashioned romance and love stories. And of course the old visa vya uswahilini!
 
Sadly enough wapo watu wa aina hiyo..wenye mawazo na matendo ya ajabu ajabu!Hata kama ni kutunga wanatakiwa wajue kuna vitu hata kufikiria tu ni kosa!Wenyewe wanaona ni sifa..taking their crazyness to the next level I guess!To me these people are lost cases with no SelfRespect or SelfDiscpline for that matter!Ubinadamu wetu tunataka kuubadilisha kua zaidi ya unyama(kama mnyama).
 
MMM....

We have different types of people and everyone treats MMU as he/she wants, as always, we should expect the good, the bad and the ugly.

Kuna fantasies, forbidden truths, taboos, the best advice you can ever get etc. however, i must admit that hizo ulizoweka hapo mkuu ni extreme and may not help any of us anyhow.

I tried to do some reflection a little while ago, but it didnt go down well to some of us and i realised, probably we are thinking like politicians (letting the time pass-us by).

it is now up to the mods and admins to rectify the content of MMU and to my knowledge, MMU is moderated somehow

Lizzy, good morning
 
hapo kwenye red unanikumbusha mbali sana.... salama? by marijani rajab
 
hahahaha.. nimekupata. Vinginevyo, mtu mgeni akiingia kwenye jukwaa la mapenzi anaweza kujiuliza ni watu gani hawa waliomo humu.. maana mengine si mapenzi tena..
 
hahahaha.. nimekupata. Vinginevyo, mtu mgeni akiingia kwenye jukwaa la mapenzi anaweza kujiuliza ni watu gani hawa waliomo humu.. maana mengine si mapenzi tena..
Jokes aside, this forum is the best painkiller in JF... i think there is a need to uphold some standards and norms kupunguza misleading ideas and perception

I believe we can self moderate to some extent but probably a longer arm is needed

Maria Roza, jukwaa lako ninacholipendea liko very straight.... karibu na huku
 
hahahaha.. nimekupata. Vinginevyo, mtu mgeni akiingia kwenye jukwaa la mapenzi anaweza kujiuliza ni watu gani hawa waliomo humu.. maana mengine si mapenzi tena..

mkulu, labda the other hypothesis could be 'mada za kawaida zimeisha' lol
 

exaktle kiongozi.....hahahaha
 

Asante Acid hili jukwaa linaishinda mie kujielezea ni zero kabisaaa:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Tobaa nshakuwa shemeji haya sijambo lol:Cry::Cry::Cry::Cry:


hahaha ivi inawezekana ni hangover MR nimeamka nayo? LOL kama haijakupendeza hiyo title nitaibadilisha...lakini nitaibadilishia kuleeeee kwen mambo yetu lol
 
Nimeona hapa jamvini kuna ongezeko kubwa la watu wenye simplest mind. Hawajadili issue zaidi ya zile za mapenzi kama alivyo orodhesha MMK.
 
hahaha ivi inawezekana ni hangover MR nimeamka nayo? LOL kama haijakupendeza hiyo title nitaibadilisha...lakini nitaibadilishia kuleeeee kwen mambo yetu lol

Hahha haha niamkie bana
Gud nite
 
nimepita tu hapa wajameni......

GOODMORNING EVERYBORED!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…