Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Mkuuu ni wasiwasi wako tuu hilo haliwezi tokea wanaotaka afanye hivyo ni ugali wanalinda au wanatafuta kwa Magu maana mpango wa magu ni kuboresha viwanja vya ndefu 15 na kufanya 6 viwe vya kimataifa chato kajipendelea tuu .ili asisahau kwao .Magufuli anataka kubadili katiba kuondoa ukomo wa Rais.
Dalili ndio hizi za kupitisha wabunge wa CCM bila kupingwa...
Uwanja siyo tatizo mkuu wengine waliiba kabisa pesa taslimu wakahamishia kwenye account zao je huyu Si bora kaifanyia kitu cha kuacha alama ya utumishi wake kwa ndugu zetu wa chato ππππ nyumbani ni nyumbani....Kwa hiyo Magufuli amewekewa mkono Mungu ili ajenge uwanja wa ndege Chato!?
Usilete masihara we kiumbe.
πππππππmkuu usipaniki sana ndio ukweli huoActually ni kinyume chake, falme zote hizi za dunia ni za shetani.
Ninachokueleza ndio ukweli, serikali zote za dunia hii ni za shetani. Hata waingie CDM madarakani kesho bado haitobadili ukweli huo, labda kama wewe ni mgeni kwenye mambo haya ya kiroho, nenda kamuulize kiongozi wako atakupa ufafanuzi.πππππππmkuu usipaniki sana ndio ukweli huo
Ok ngoja nichimbe zaid...Ninachokueleza ndio ukweli, serikali zote za dunia hii ni za shetani. Hata waingie CDM madarakani kesho bado haitobadili ukweli huo, labda kama wewe ni mgeni kwenye mambo haya ya kiroho, nenda kamuulize kiongozi wako atakupa ufafanuzi.
Yesu alisema ufalme wake si wa funiani.Actually ni kinyume chake, falme zote hizi za dunia ni za shetani.