Hakuna mapenzi wala mahusiano

Hakuna mapenzi wala mahusiano

Lemaiba

Member
Joined
May 19, 2010
Posts
21
Reaction score
2
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma itakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
 
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma uitakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
 
Hongera kwa kubaini hilo na kukielewa KIZASI cha leo...mpaka hapo umefaulu mtihani wa “mapenzi na mahusiano“ .
 
no money no honey....
mkono mtupu haulambwi...
 
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma uitakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
wewe ingefaa ungekuwa wangu manake hata mimi naamini hivi
 
hivi just think una nini cha ziada mpaka upewe true love wewe?
 
Yapo sana, tatizo mna papara sana katika kutafuta wapenzi.
 
Sio kweli, ingawa wapo wa hivyo lakini pia wanaojitunza wapo kwa sana.
 
ya ,, ni kweli kabisa,, both side men and women
 
Tatizo letu vijana wa leo ni kufikiria unyumba kabla ya ndoa, ndiyo maana hata maana ya mapenzi imetoweka kabisa. Vijana wengi hatujui kuwa true love ni zaidi ya ngono ambayo tunaishabikia kila siku. Mara nyingi watu wakianza mahusiano kwa kufanya ngono, suala la kupendana huwa halipo tena zaidi ya kufanyiana tathmini. Mara oh, mtu wangu amepoa, hajishughulishi nk!Lakini upendo wa kweli huwa moyoni, hata kama hakuna kufanya mapenzi huwa upo tu!
 
Nakubaliana na wewe, hapa tatizo ni kufanywa zoba/mjinga

Back
Top Bottom