Ndio nauliza CCM imesahau nini kukitaka chama kinachowasiliana na mabwanyenye kwenye maridhiano.hakuna mTanzania anaweza kukubali ushauri wa vyama vya siasa vinavyotumiwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kujaribu kufanya uasi na Mapinduzi dhidi ya serikali sikivu ya CCM.
that's completely nonsense gentleman π
Gentleman,Ndio nauliza CCM imesahau nini kukitaka chama kinachowasiliana na mabwanyenye kwenye maridhiano.
CCM Ndiye anayehitaji maridhiano kuliko hata CHADEMA, Yeye na serikali wamekuwa kinyume na watanzania, isipokuwa kwa wapotoshaji kama wewe na wale bootlicke (aka machawa)Gentleman,
hakuna haja ya kupotosha wadau wa Jf.
Maridhiano ya hiyari miongoni mwa wananchi na waTanzania wote, ni kwa manufaa na maslahi mapana ya taifa zima.
hizo porojo zingine wadanganye wafuata mkumbo na wasusa uchaguzi π
Gentleman,CCM Ndiye anayehitaji maridhiano kuliko hata CHADEMA, Yeye na serikali wamekuwa kinyume na watanzania, isipokuwa kwa wapotoshaji kama wewe na wale bootlicke (aka machawa)
Huu ndio ukweli kwako Kiongozi wa machawa.
Kwa kuwa huelewi maana ya maridhiano umeendelea kuandika ujinga.Gentleman,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote ni kwa manufaa na maslahi mapana ya waTanzania wote na si vinginevyo.
hakuna haja ya porojo useless kama hizo jukwaani kuhusiana na maridhiano π
umejaa mihemko na makasiriko useless ukidhani eti hiyo ndio siasa na namna ya kujenga hoja au kusaidia chama chako na misimamo yake useless, kumbe unajilimit mwenyewe katika kufikiri na kuwaza zaidi ya uwezo wako πKwa kuwa huelewi maana ya maridhiano umeendelea kuandika ujinga.
Yani mkuu ni shida sanaumejaa mihemko na makasiriko useless ukidhani eti hiyo ndio siasa na namna ya kujenga hoja au kusaidia chama chako na misimamo yake useless, kumbe unajilimit mwenyewe katika kufikiri na kuwaza zaidi ya uwezo wako π
Alhadi kusemaje?The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18.
Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure.
Bila Chadema kushiriki itakuwa kazi bure, yataitwa maridhiano feki, 'cosmetic reconciliation'.
Hahaha hii kaliDu! kumbe Tlaatlaah ndiye Yericko Nyerere
Kwanza yamefia wapi? Siwangejaribu kuitana wao kwa wao waone watakavyopwaya kama sherehe za kumkaribia yule kahaba!The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18.
Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure.
Bila Chadema kushiriki itakuwa kazi bure, yataitwa maridhiano feki, 'cosmetic reconciliation'.
Nonsense!So, vyama vya siasa visiwe sehemu ya maridhiano ispokua, wananchi waje pamoja kwenye maridhiano hayo ya hiyari kama waTanzania na si vinginevyo.
Nadhani itapendeza zaidi π
Umefanya research ukajua tutakataa?hakuna mTanzania anaweza kukubali ushauri wa vyama vya siasa vinavyotumiwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kujaribu kufanya uasi na Mapinduzi dhidi ya serikali sikivu ya CCM.
that's completely nonsense gentleman π
maridhiano ya hiyari ya wananchi wote waTanzania hayamlazimisha yoyote anaekataa au mwenye misimamo yake.Umefanya research ukajua tutakataa?
Kwenye siasa haiko hivyo mtu mmoja anaweza kuwa na influence kubwa kuzidi watu 100.maridhiano ya hiyari ya wananchi wote waTanzania hayamlazimisha yoyote anaekataa au mwenye misimamo yake.
In fact,
kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 70, kati yake milioni 20 wakikataa au kugomea jambo fulani lolote, milioni 50 waliobaki wanaweza kusonga mbele tu bila mbambamba yoyote.
Na hiyo ndio faida ya taifa kua na watu wengi.
Na hiyo ndio maana ya,
Penye wengi hapaharibiki kitu,
Penye wengi pana mengi π
In fact,Kwenye siasa haiko hivyo mtu mmoja anaweza kuwa na influence kubwa kuzidi watu 100.
Where the data come from?maridhiano ya hiyari ya wananchi wote waTanzania hayamlazimisha yoyote anaekataa au mwenye misimamo yake.
In fact,
kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 70, kati yake milioni 20 wakikataa au kugomea jambo fulani lolote, milioni 50 waliobaki wanaweza kusonga mbele tu bila mbambamba yoyote.
Na hiyo ndio faida ya taifa kua na watu wengi.
Na hiyo ndio maana ya,
Penye wengi hapaharibiki kitu,
Penye wengi pana mengi π
data are every where gentleman in this technological eraWhere the data come from?
Reference plz! π€data are every where gentleman in this technological era