'Hakuna Masikini Jeuri, Na ukiwa Maskini Jeuri utakuwa Maskini milele' Zamaradi afunguka

Hata me namuona wa kawaida....kajiingiza katika matatizo ya bure!!!!

Si ndo kashasema hakuna masikini jeuri, kama bosi alitaka angemnyima si angefukuzwa kazi angekufa na njaa hapa mjini...Lakini saa hizi mashallah, alikuwa kapanga huku uswazi kwetu alivyojifuanguaga tu akahamishwaa...Chezea...

Shost maskini jeuri ni msemo tusiuweke kwenye akili, usmart tupa Kule, hadi smartphone zipoo.

mwendhio nimegeti inspayadii hivoo
 
Ha ha ha umekuwa inspired na life ya huyo binti??wacha wee....ss hv anaishi wapi kwani?
 
Ha ha ha umekuwa inspired na life ya huyo binti??wacha wee....ss hv anaishi wapi kwani?

Nimeget inspayadi niache ujeuriiii nisije kufa masikini, Ila kutoka upresenta tu wa kuchambua filamu hadi kuwa Mrs boss sio shughuli ndogo..

.Sijui anaishi wapi now, naona mjengo tu instaa, huku alipanga chumba na sebule...
 
Basi tulio majehuri acha tule jeuri yetu.Ila kwa Ruge hapana!!Hata me namuonaga insta na ana mimba nyingine now
 
Basi tulio majehuri acha tule jeuri yetu.Ila kwa Ruge hapana!!Hata me namuonaga insta na ana mimba nyingine now

Shauri zako, me kuanzia Leo ujeuri basiii.....Ass kissin ndo habari...lol
 
huyu zamaradi anajichukulia bright woman.siku zote ila ni mwanake wa kawaida sana.tofauti na yeye level anazofikiria kuwa yupo.by the way..kila mmoja ana weakness zake
 
Ile mijamaa ya pale haiaminiki lazma itakuwa imempiga huyo na kitu kilichochongoka mbele! ! itakuwa inaadvatage kwel watoto wanalialia njaa basi inawasitiri kimtindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…