Tena siyo serikali ni SamiaKumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k. Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka inayotaayarishwa na Serikali na siyo wenyewe hivyo sioni maana ya kuwa na Wabunge wengi mjengoni bila kazi yeyote wanayofanya.
"Sioni maana ya kuwa na wabunge wengine"Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.
Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka inayotaayarishwa na Serikali na siyo wenyewe hivyo sioni maana ya kuwa na Wabunge wengi mjengoni bila kazi yeyote wanayofanya.
Hahahaa....na ukweli kinacholeta maendeleo ni kodi yako wewe mwananchi + fedha za wahisani+ mikopo.Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.
Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka inayotaayarishwa na Serikali na siyo wenyewe hivyo sioni maana ya kuwa na Wabunge wengi mjengoni bila kazi yeyote wanayofanya.
Mama ametupa fedha tumejenga SGR ,mitano tena kwa Bibi Kizimkazi na hapa ipo.Tena siyo serikali ni Samia
wawakilishi wa wananchi wataendelea kuongezeaka mjengoni kadiri itakavyoonekana inanfaa ili kusogeza uwakilishi wa maoni na mahitaji ya huduma zao muhimu na za kipaumbele serikalini, lakini pia kusogeza huduma hizo, karibu zaidi na huko waliko wananchi wenyeweKumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.