Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe.
CCM wameshajua madhaifu ya Mbowe ndo maana wanapambana ili ashinde kwenye uchaguzi ndani ya chama. Chadema chini ya Mbowe itakuja kunadi sera zipi kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu na hakuna kipya, wajumbe/Machawa wanaangalia maslahi kutoka kwa Mbowe bila kuangalia mbeleni kwamba uchaguzi mkuu hawatapata kura kabisa .
CCM leo wanawapa support chadema ambayo ni chama kikuu cha upinzani chini ya Mbowe umeona wapi? CCM ndo babalao kwenye figisu na hujuma kwenye uchaguzi na CHADEMA ilikuwa ikitumia mwamvuli wa wananchi kulinda kura na kupiga kelele,CCM.
Sasa hivi ni marafiki wa team Mbowe subiria uchaguzi mkuu unapofanyika hakuna kumwangalia nyani usoni na zamu hii Chadema bila support ya wafuasi usitegemee kuna mtu atapiga kelele au kuhangaika na kupambania chama kurisky maisha yake.
Nadiriki kusema mwakani hakuna hata mgombea mmoja wa chadema ataingia bungeni labda kutoka chama kingine cha upinzani.