Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni kupewa vibali vya kazi Tanzania kwa sababu ya uwekezaji wao. Yaani hana jipya Gambo!
Niliamini pengine Kunambi naye atafurukuta - wapi bhana Kunambi. Nikahisi labda akina Elibariki Kingu watajipambanua Zaidi - kumbe hamna kitu pia. Haya tena nikajisemea mwenyewe ngoja aje Mzee mzima Mavunde na hivi kakosa Unaibu - huyu ndiyo bado bariiiiiiiidiiiiiii! Twende kazi - nikaweka matumaini kwa bwana mdogo wa Igunga sijui Ngasa yule - angalau angalau anakuja na hoja ila bado ana hali ya kimajungu.
Mbunge wetu ni yupi sasa? Nani ataweza vaa viatu vya Filikunjombe? Nani? Nani? Nani? Nani? Simwoni katu! Haya sasa - Bashe angalau alikuwa anafurukuta lakini ndiyo huyo sasa anaenjoy na unaibu Waziri! Kuna wakati ninajisemea inawezekana ni kweli watu wazuri hufa mapema! Mhh hata mimi ninahisi nitakufa mapema!