Hakuna Mbunge wa CCM kwa sasa viwango vya Filikunjombe

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni kupewa vibali vya kazi Tanzania kwa sababu ya uwekezaji wao. Yaani hana jipya Gambo!

Niliamini pengine Kunambi naye atafurukuta - wapi bhana Kunambi. Nikahisi labda akina Elibariki Kingu watajipambanua Zaidi - kumbe hamna kitu pia. Haya tena nikajisemea mwenyewe ngoja aje Mzee mzima Mavunde na hivi kakosa Unaibu - huyu ndiyo bado bariiiiiiiidiiiiiii! Twende kazi - nikaweka matumaini kwa bwana mdogo wa Igunga sijui Ngasa yule - angalau angalau anakuja na hoja ila bado ana hali ya kimajungu.

Mbunge wetu ni yupi sasa? Nani ataweza vaa viatu vya Filikunjombe? Nani? Nani? Nani? Nani? Simwoni katu! Haya sasa - Bashe angalau alikuwa anafurukuta lakini ndiyo huyo sasa anaenjoy na unaibu Waziri! Kuna wakati ninajisemea inawezekana ni kweli watu wazuri hufa mapema! Mhh hata mimi ninahisi nitakufa mapema!
 
Ndo hivyo hakuna namna mkuu labda tusubir bunge baada ya uchaguz 2025
 


Upumzike kwa amani na salama ya milele Mheshimiwa Deo Filikunjombe. Amina.
 
Ila naskia mzee wa amsha amsha ZZK anataka kugombea ubunge huko Kigoma kwenye jimbo la Makamu wa Rais kama sikosei labda yeye ndo atarejesha ahueni mjengoni.
 
Mkuu akivunja bunge, nayeye anatoka kwenye kiti chake cha urais
Naomba ufafanuzi kidogo kivip wakat yeye akilisolve bunge uchaguz utakaofanyika ni wa wabunge na madiwan tu kma ntakua siko sahihi mtanirekebisha wakuu
 
Akilisolve? Sijakuelewa Mkuu una maana gani?
Naomba ufafanuzi kidogo kivip wakat yeye akilisolve bunge uchaguz utakaofanyika ni wa wabunge na madiwan tu kma ntakua siko sahihi mtanirekebisha wakuu
 
Bunge limepoa mnoo.... Umenikumbusha Filikunjombe na hoja ya kutokuwa na imani na PM... Jamaa aliaini ile listi.... Alihojiwa na mwandishi kwamba kwa Nini amesaini ikiwa yeye ni mbunge wa CCM? Filikunjombe alijibu, Aliyesaini hapo siyo Filikunjombe bali ni wanaLudewa ndiyo wametia saini.....

Loooo... Filikunjombe...
 
Kwanza mimi sio chadema fuatilia quotes zang humu nnachopinga ni shutuma bila evidence. Pili ndicho ulichorudia hapa kua aliangushwa na konyagi ingekua vyema kama ungeleta clip hapa akiwa anaangushwa na konyagi
Du! Tungekuwa tunafahamiana na kuonana humu ngumi zingekuwa zinapigwa ile mbaya
 
Kwanza mimi sio chadema fuatilia quotes zang humu nnachopinga ni shutuma bila evidence. Pili ndicho ulichorudia hapa kua aliangushwa na konyagi ingekua vyema kama ungeleta clip hapa akiwa anaangushwa na konyagi
Huyo jamaa yenu huko Lumumba ni tahira kila uzi anaandika hii jumbe utafikiri robot, mbaya hata hajistukii anaona kama huku wamejaa watoto matahira wenzie..


Kinuju Kua ki akili acha shobo za kishamba.
 
Huyo kunambi ndie aliekuwa anaalikwa ITV kujadili malumbano ya hoja?
Ni kenge tu mmoja pale bungeni hana msaada.
 
Huyo kunambi ndie aliekuwa anaalikwa ITV kujadili malumbano ya hoja?
Ni kenge tu mmoja pale bungeni hana msaada.
Umetumia neon kali kweli "Kenge". Sijui tafsiri yake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…