Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Mkuu ntake radhi kwanza..Mimi sio CCM na cjawah but napenda sana RevolutionHuyo jamaa yenu huko Lumumba ni tahira kila uzi anaandika hii jumbe utafikiri robot, mbaya hata hajistukii anaona kama huku wamejaa watoto matahira wenzie..
Kinuju Kua ki akili acha shobo za kishamba.
Anakuonea!Mkuu ntake radhi kwanza..Mimi sio CCM na cjawah but napenda sana Revolution
Kabisa aseeAnakuonea!
Basi tuliza mazeee! Duniani si petu kwani kila mmoja ataenda zake!Kabisa asee
Sawa mkuu, sorry sana.. Nikajua naww ni wapokea buku 7 [emoji23]Mkuu ntake radhi kwanza..Mimi sio CCM na cjawah but napenda sana Revolution
🤣🤣🤣Hiyo buku saba hata mm naweza walipa tuSawa mkuu, sorry sana.. Nikajua naww ni wapokea buku 7 [emoji23]
Tukumbuke kauli ya jeneral ulikwengu juu ya bu ge hiliBunge limeingiwa kirusi kibaya haijawahi kutokea
Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni kupewa vibali vya kazi Tanzania kwa sababu ya uwekezaji wao. Yaani hana jipya Gambo!
Niliamini pengine Kunambi naye atafurukuta - wapi bhana Kunambi. Nikahisi labda akina Elibariki Kingu watajipambanua Zaidi - kumbe hamna kitu pia. Haya tena nikajisemea mwenyewe ngoja aje Mzee mzima Mavunde na hivi kakosa Unaibu - huyu ndiyo bado bariiiiiiiidiiiiiii! Twende kazi - nikaweka matumaini kwa bwana mdogo wa Igunga sijui Ngasa yule - angalau angalau anakuja na hoja ila bado ana hali ya kimajungu.
Mbunge wetu ni yupi sasa? Nani ataweza vaa viatu vya Filikunjombe? Nani? Nani? Nani? Nani? Simwoni katu! Haya sasa - Bashe angalau alikuwa anafurukuta lakini ndiyo huyo sasa anaenjoy na unaibu Waziri! Kuna wakati ninajisemea inawezekana ni kweli watu wazuri hufa mapema! Mhh hata mimi ninahisi nitakufa mapema!
Ni kimbelembele tuHuyo kunambi ndie aliekuwa anaalikwa ITV kujadili malumbano ya hoja?
Ni kenge tu mmoja pale bungeni hana msaada.
Alaaniniwe sana sana!Ni kimbelembele tu
Kwanza ubunge wa kubebwa jimbo ni layule mama Mahere alaaniwe na
Hatar sanaDu! Tungekuwa tunafahamiana na kuonana humu ngumi zingekuwa zinapigwa ile mbaya
kutokana na sheria ipi
Sheria gani hiyo?