Uchaguzi 2020 Hakuna mbunge wa upinzani 2020 atayerudi bungeni

Wapinzani watarudi wengi huenda kuliko hata wa 2015,usiogope vitisho,wewe jiandae kupiga kura tu badala ya kufuata propaganda za ccm kuwa hawatarudi.

Ukiwa dhaifu lazima uibiwe lkn nakumbuka 2010 kuna wabunge walitangazwa baada ya wananchi kukinukisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili la wabunge kuunga jihudi za Mh zimepunguza sana ari ya vijana kulinda kura na pia vijana wengi hamu ya kupiga kura imepotea labda kampeni ziwe tamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bravo!
However, kipima joto kwa maana ya thermometer kuhusu HALI YA KISIASA TANZANIA kinatoshelezwa na SAMPLING ya kitakwimu za yaliyotokea baada ya NGANGARI kuhama chama.

Aidha, tafsiri ni kwamba WATU WAMECHOSHWA na wanahitaji MBADALA na ujumbe kwamba THUBUTU UCHEZEE WATU 2020 au YAJAYO YANAFURAHISHA.

Takwimu hizo hazidanganyi bali ni pale ambapo kama RWANDA basi hakitaeleweka. A very poisonous precedent. The African child cries again, not yet UHURU! Agonies of a very dark epoch!
 
"Hakuna Uchaguzi Mgumu Kuwahi kutokea Tanzania kama Uchaguzi wa 2020" btw Kwa Hapa Mbeya Mjini SUGU anarudi Bungeni Lazima Masela Waingie Front Kwenye Mapambano.

"Mopao Mokonzi"
 
Watarudi japo wachache. Huu ni uchaguzi mkuu hawataweza kudhibiti kura katika majimbo yote
 

Sawa hata wakati wa Nyerere ilikuwa hivyo so hakuna shida
 
Kwani Mwanamke ukimbaka Na yeye akakuachia umbake kwakuwa hana nguvu ya kuhimili kumkabili mbakaji unadhani ndiyo huyo Ni mpenzi wako? Au unaweza kumwita mpenzi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…