Binafsi nitafurahi sana nikiona Bunge la 2020 hadi la 2025 lote liwe ni la Wabunge wa CCM tupu ili Sera zao nzuri ziweze Kuharakisha Maendeleo ya Watanzania chini ya Rais Dkt. Magufuli kuliko kuwa na Wabunge wa Upinzani ambao Kazi yao ni Kugoma, Kuandamana, Kususa, Kupiga Majungu na Kuendeleza Uswahili na Propaganda za Kipuuzi zisizo hata na Afya na Ustawi wa nchi yetu hii. Namalizia kwa Kusisitiza kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nikiliona Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania la mwaka 2020 lina Wabunge wote wa Chama changu cha Mapinduzi nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa sana na isiyo na Kifani. Wapinzani wakatafute nchi yao nyingine ila siyo Tanzania kwani watatuchelewesha katika Maendeleo tunayoyataka / tunayoyahitaji.