Unachekesha....!! Kwanini unajipa moyo namna hii jamaa..!!? Haya mliyasema hivihivi mwaka ule wa uchaguz mkaangukia pua..naona mnarudia tena..hamchokiHuo ni uchaguzi mkuu kumbuka kuwa watu wana vinyongo vyao mioyoni mwao na hao wanao ilinda ccm watakuwa wachache sana
In God we trust
Mbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..Sisi Mbeya Sugu atarudi,ila sijui mtatuua wangapi.
Wapinzani watarudi wengi huenda kuliko hata wa 2015,usiogope vitisho,wewe jiandae kupiga kura tu badala ya kufuata propaganda za ccm kuwa hawatarudi.
Ukiwa dhaifu lazima uibiwe lkn nakumbuka 2010 kuna wabunge walitangazwa baada ya wananchi kukinukisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........
nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejea

Unakaa Mbeya sehemu gani? Umekaa na katecno hapo Lumumba unanibania pua hapa.Mbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..
Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........
nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa kike huoMbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..
Binafsi nitafurahi sana nikiona Bunge la 2020 hadi la 2025 lote liwe ni la Wabunge wa CCM tupu ili Sera zao nzuri ziweze Kuharakisha Maendeleo ya Watanzania chini ya Rais Dkt. Magufuli kuliko kuwa na Wabunge wa Upinzani ambao Kazi yao ni Kugoma, Kuandamana, Kususa, Kupiga Majungu na Kuendeleza Uswahili na Propaganda za Kipuuzi zisizo hata na Afya na Ustawi wa nchi yetu hii. Namalizia kwa Kusisitiza kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nikiliona Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania la mwaka 2020 lina Wabunge wote wa Chama changu cha Mapinduzi nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa sana na isiyo na Kifani. Wapinzani wakatafute nchi yao nyingine ila siyo Tanzania kwani watatuchelewesha katika Maendeleo tunayoyataka / tunayoyahitaji.
Utabiri wako wa mzee wa Upako .Watakaorudi bungeni ni Mbowe tuu na Mbatia, Mnyika na wabunge wengine kama watano hvi..nimewasahau majina....The rest kama Lema, Msigwa Zitto, Sugu, Halima mdee, Ester Matiku sjui Easter Bulaya..watafute kazi nyingine ya kufanya
Mkuu,Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........
nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejea
Sent using Jamii Forums mobile app