Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja.Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........
nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani CCM mmefanyia nini TZ, imekuwa ya mwisho kiuchumi duniani.Mbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..
Hata wakiwa wamekufa!!Ikiwapendezaa wenye Dola na sirahaa zao wafanye maamzii kuliko yatakayoamliwa na kura!! Iko siku tutawahukumu watakaokuwa hai kwa hayaaa
Jidanganye.Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........
nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejea
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia suala la Sugu sio Tanzania..elewa mzee..au hujasoma ....?
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu Mbeya haiwezi kuongozwa na mwanamke alafu kihelehele. Mwambie atafute kazi ya kufanyaha ha jimbo la spika mtarajiwa hilo yule dada wa ngoma za kienyeji T.A
Sent using Jamii Forums mobile app