BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Huo ndio ukweli, Kuna wanasiasa wachovu wanahadaa wananchi kuwa maendeleo yanaletwa na mbunge. Kibaya zaidi hata wasomi huwa wanaamini huo utapeli wa kijinga.Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo
Naomba kuwasilisha
Acha waendelee kupigwaHuo ndio ukweli, Kuna wanasiasa wachovu wanahadaa wananchi kuwa maendeleo yanaletwa na mbunge. Kibaya zaidi hata wasomi huwa wanaamini huo utapeli wa kijinga.
Hapo kwenye kusimamia serikali ndio pasua kichwa!, Unamsimamia anayekulipa mshahara! 😳Kazi za msingi za mbunge zinajulikana:
1. Kuwakilisha wananchi bungeni
2. Kutunga sheria
3. Kusimamia serikali
Ujenzi wa miundombinu ni jukumu la serikali. Hata hivyo mbunge mzuri anaweza kufanya lobbying kwa serikali ili itoe kipaumbele cha maendeleo kwenye jimbo lake.
Wananchi wengi ni mbumbumbu wakiona maendeleo wanasema kaleta mbunge. Pia bungeni nimewahi kumsikia spika Job anahoji tangu Tundu Lissu na Lema wamechaguliwa wamefanya nini cha maana kwenye majimbo yao.
Huu ni ujinga wa mtu mweusi. Ndungai alijua wazi serikali ya CCM haiwezi kupeleka maendeleo kwa wakati kwenye majimbo yenye wapinzani.
Mbunge ni muwakilishi wa mahitaji ya wananchi walioko jimboni kwake huko bungeni ili serekali ifanyie kazi mahitaji hayo. Pia ana wajibu wa kuisimamia serekali na kuishauri ndani ya bunge. Na kazi nyingine ni kutunga Sheria ndani ya bunge, japo kwa bunge letu, hii ipo kinadharia zaidi.Kama wabunge hawaleti maendeleo wa kazi gani sasa??
Wabunge ndio wanaopanga bajeti, kama wanaona bajeti haina maslahi au haileti maendeleo katika majimbo yao husika wanapaswa waikatae.Mbunge ni muwakilishi wa mahitaji ya wananchi walioko jimboni kwake huko bungeni ili serekali ifanyie kazi mahitaji hayo. Pia ana wajibu wa kuisimamia serekali na kuishauri ndani ya bunge. Na kazi nyingine ni kutunga Sheria ndani ya bunge, japo kwa bunge letu, hii ipo kinadharia zaidi.
Bajeti inapangwa na serekali mkuu, huko bungeni inaenda kupata uhalali tu. Lakini kwa bunge hili linalopatikana kwa hisani ya serekali, usitegemee wakatae kinachotakiwa na serekali.Wabunge ndio wanaopanga bajeti, kama wanaona bajeti haina maslahi au haileti maendeleo katika majimbo yao husika wanapaswa waikatae.
Kule Morogoro Abood huwa anatoa bus kwa ajili ya msiha, nazani ndio maendeleo yenyeweKwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo
Naomba kuwasilisha
Dunia nzima kazi ya Bunge sio kuleta Maendeleo,labda unataka iwe tofauti kwa TanzaniaKama wabunge hawaleti maendeleo wa kazi gani sasa??
Siyo kweli!Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo
Naomba kuwasilisha
Tuliyaona Haya Kwenye Utawala Wa JiweKwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo
Naomba kuwasilisha
Siyo kweli!
Mbunge anapaswa kuwa na Dira ya Maendeleo ya watu wake kwa kuweka vipaumbele vya Jimbo lake vizuri!
Siyo kila kitu kinafanywa na Serikali!
Watu wakijiongoza vizuri na kuweka malengo ya pamoja kama watu wenye nia ya kwenda kwenye hatua fulani walioichagua basi Wanajimbo wanaweza kufaulu kusogea mbele kimaendeleo.
Chukulia Mfano tu wa Jimbo ambalo Maendeleo yake huletwa na Kilimo.
Halafu Mbunge wao hana Shamba na akiwa nalo basi liko hoi...huyo hafai kuwa Muwakilishi wa watu wake kwa Sababu alipaswa kuwa na Shamba la Mfano kwa ajili ya kunyanyua wananchi wenzake.
Mbunge ana influence sana kwenye Jimbo lake hata kama Serikali haina pesa!
Hata kwa tabia ya Usafi wa Mazingira tu; hilo halihitaji Pesa ya Serikali lakini linahitaji kuwa na Kiongozi mwenye Dira...!
Sio dunia nzima, labda Africa, nchi za kifalme na kidikteta.Dunia nzima kazi ya Bunge sio kuleta Maendeleo,labda unataka iwe tofauti kwa Tanzania