hakuna mbwembwe kwenye kunya

hakuna mbwembwe kwenye kunya

Unapoingia chooni akili karibuni yote unaiacha nje bila wewe kujua, unaingia na ile ya kukusaidia usijinyee, ndo mana hutakiwi kufanya chochote cha ziada , hata kukohoa tu unaweza ukute umejinyea au upo Off target tayar. Ukiona mtu anaingia chooni halaf huko anafanya mengine mfano anaimba, ujue huyo kaingia nazo zote na si ajabu ukakuta amekunya kwenye ndoo ya maji.
 
Ukiona mtu anaingia chooni halaf huko anafanya mengine mfano anaimba, ujue huyo kaingia nazo zote na si ajabu ukakuta amekunya kwenye ndoo ya maji.
hahaha upo sahihi mkuu
 
Unapoingia chooni akili karibuni yote unaiacha nje bila wewe kujua, unaingia na ile ya kukusaidia usijinyee, ndo mana hutakiwi kufanya chochote cha ziada , hata kukohoa tu unaweza ukute umejinyea au upo Off target tayar. Ukiona mtu anaingia chooni halaf huko anafanya mengine mfano anaimba, ujue huyo kaingia nazo zote na si ajabu ukakuta amekunya kwenye ndoo ya maji.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Raha ya kile kitu bwana uwe choo cha nyumbani kwenu ulichokizoea halafu kisiwe kimejaa mpaka juu hadi ukose kustarehe!

Tena choo kisiwe karibu na barazani maeneo ya uswazi[emoji3]
 
Unatumia choo gani?! Watu wanakunya huku wanachart, watu wanakunya huku wanawatch screen
281040085fb7f90364d00dcd53ff3297.jpg
 
Back
Top Bottom