man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
Balaa huja kwa sie wa kwa mtogole upo umebanwa na gogo lako tangia asubuhi umelitunza unafika tuu gheto jirani na choo wamekaa akina mama wanapiga umbea wao siunafahamu hivi vyoo vya huku uswazi havina hata Paa harufu yote inapaa hewani tuu na pia usiombe hilo Gogo liambatane na vijambo flani hivi vya Sunna , Mimi hua nafungua bomba la maji tuu au nabuluza ndoo ili sauti ya vijambo vya sunna wasisikie.