hakuna mbwembwe kwenye kunya

Mbavu zanguu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani!!! Labda uwe fiti, wale wana halisha nao wanafeel starehe??
 
Raha ya kunya uwe unavuta sigara, full burudani kitu kinadrop bila shida yaani fresh.

Burudani zaidi uvute sigara Nyota hutaona shida hata kama hujala matunda mwaka.
Tatizo mkuu unaweza sahau kutawaza maanake kitu inatoka kama tofali
 
Ukitaka kujua hua umakini, uwe unakunya hafu mtu apige jiwe juu ya bati

Mziki wake unye kwebye choo kinachovuja na mvua iwe inanyesha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba usikute aliyeanzisha hii post hata ni bosi wako
aisee jf kiboko mimi na wewe milele na milele
Kna uzi ulianzshw hmu wa kumsifia uzuri kairuki,kn mdau akasema hvi kwny comment "ukute huyu aliyeanzisha huu uzi ni magu au kigwangala au simbachawene " nilicheka sana[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…