hakuna mbwembwe kwenye kunya

Balaa huja kwa sie wa kwa mtogole upo umebanwa na gogo lako tangia asubuhi umelitunza unafika tuu gheto jirani na choo wamekaa akina mama wanapiga umbea wao siunafahamu hivi vyoo vya huku uswazi havina hata Paa harufu yote inapaa hewani tuu na pia usiombe hilo Gogo liambatane na vijambo flani hivi vya Sunna , Mimi hua nafungua bomba la maji tuu au nabuluza ndoo ili sauti ya vijambo vya sunna wasisikie.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba usikute aliyeanzisha hii post hata ni bosi wako
aisee jf kiboko mimi na wewe milele na milele
Tena waweza kuta ni makorokoro au meja kabisa haha, au mkurugenzi wa wilaya
 
Kna uzi ulianzshw hmu wa kumsifia uzuri kairuki,kn mdau akasema hvi kwny comment "ukute huyu aliyeanzisha huu uzi ni magu au kigwangala au simbachawene " nilicheka sana[emoji3]
Kama unasikiaga kuwaza nje ya box ndo huko sasa ....Ila jamaa alizidi eti anaweza kuwa kingwangala au magu!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila nyuzi ina watu wake humu....!!

Ukiona umeanzisha uzi watu wakapita kimya, jitathmini....!
 
raha uvue nguo zote kwanza...af unafungulia kibomba mdogo mdogo unateremsha madini hasi
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaa
 
 
Daaaah nakumbukaa niliwahi kaa mahali na masela toilet iko maeneo ya waz ...njee wapangajii wamekaa barazani....watoto....daaa ilikuwa tunapiga root za usiku mnene tuu...
 
kila mtu anastaili yake ya kunya! Nani atajisifia anajua style ya jirani yake ya kunya? aje nimpe msimbazi fasta
[emoji1] [emoji1] [emoji1] , kwenye hili huwa hakuna chabo. Ungeuliza kwenye kuoga nadhani wangepatikana.
 
Ha ha ha

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…