Hakuna mchezaji nchini aliyewahi kuuzwa kwa bilioni 2.8. Kama tetesi ni za kweli hii itakuwa ya kwanza

HV mkuu hakunaga mada unazo zijuwa wew Zaid ya mipira HV uoni bandari inakwenda badal ufungue Uzi ulalamike wee kila siku unaanzisha mada za mipra as if tuko pmj kwenye vijiwe vya kawahawa

Embu njoo mada nyingine tukuone uapnde wako wa pili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Usinilazimishe kuandika Mambo ya bandari ambayo hayahitaji kutumia nguvu Bali ni taaluma Sasa Sina taaluma ya sheria na nitabaki kuwa msomaji.

Nimefuatilia mjadala wa bandari humu jf wengiwao hamna mnachokijua Bali ni matusi na tu lakini hakuna hoja Bora hata waliokwenda kufungua kesi mahakamani wapo serious.
 
Back
Top Bottom