HV mkuu hakunaga mada unazo zijuwa wew Zaid ya mipira HV uoni bandari inakwenda badal ufungue Uzi ulalamike wee kila siku unaanzisha mada za mipra as if tuko pmj kwenye vijiwe vya kawahawa
Embu njoo mada nyingine tukuone uapnde wako wa pili
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app