Hakuna mchezaji wa kumlinganisha na Saidoo hapa Bongo

Duh ase kazi ipo, kisa free kick au hahahaha kazi tunayo wachambuzi uchwara na wasikilizaji uchwara, naona sarpong siku hizi anapotezewa kabsa , alisifiwa sana huyu jamaa sasa sijajua nini kimemkuta hehe
 
Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Mtu kacheza Ligue one,Uturuki etc utamfananishaje na hawa local?
 
Duh ase kazi ipo, kisa free kick au hahahaha kazi tunayo wachambuzi uchwara na wasikilizaji uchwara, naona sarpong siku hizi anapotezewa kabsa , alisifiwa sana huyu jamaa sasa sijajua nini kimemkuta hehe
Ukweli unaujua,CV yake nikubwa kuliko wachezaji wengi wa VPL
 
Seidoo si lolote ule kuja tu Utopolo ni hovyoo kabisa yaani angeenda hata TP Mazembe auAl Ahly. Tunampa muda tu atakua kama Ngasa
 
Hata yule mcheza baikoko wa kireno alipokuja mlimpa sifa lukuki.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…