Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kagere na Onyango wana miaka mingapi??😀😀😀Akiteguka haponi huyo.nipe mwezi mmoja atapigwa misumari atakuwa majeruhi miezi sita akipona tayari miaka 36
35Kwani Kagere na Onyango wana miaka mingapi??😀😀😀
Unaanzisha vita halafu unatupangia aina yasilaha tupe mchanganuo huoGoogle, dunia ni kama kijiji
Mchawi weweAkiteguka haponi huyo.nipe mwezi mmoja atapigwa misumari atakuwa majeruhi miezi sita akipona tayari miaka 36
Wachezaji wenzie wazawa,awatamuacha salama kwa misumari.Tatzo wachezaji wenzie watamroga
Mtu kacheza Ligue one,Uturuki etc utamfananishaje na hawa local?Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Ukweli unaujua,CV yake nikubwa kuliko wachezaji wengi wa VPLDuh ase kazi ipo, kisa free kick au hahahaha kazi tunayo wachambuzi uchwara na wasikilizaji uchwara, naona sarpong siku hizi anapotezewa kabsa , alisifiwa sana huyu jamaa sasa sijajua nini kimemkuta hehe
Unadhani yeye hajui hilo?Wachezaji wenzie wazawa,awatamuacha salama kwa misumari.
Kama anajua basi ni vema,maana mpira wa bongo kwa ndumba akuna nchi inatufikia.Unadhani yeye hajui hilo?
Huyu ni muafrika,so anajua tamaduni za kiafrikaKama anajua basi ni vema,maana mpira wa bongo kwa ndumba akuna nchi inatufikia.
Apo hawajaongopa *****,Saidoo 33😂😂
Hao ni vijana wadogo, wana 39 tuKwani Kagere na Onyango wana miaka mingapi??[emoji3][emoji3][emoji3]
HahahaaaaaHao ni vijana wadogo, wana 39 tu