Hakuna mchezaji wa kumlinganisha na Saidoo hapa Bongo

Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Kwa hiyo unamlinganisha kwa sasa au kwa wakati ule? Maana kwa sasa wote wanacheza ligi ya Bongo. Ni sawa na baba kumfokea mwanaye kwamba hauwezi kulingana na mimi umri, jambo ambalo ni dhahiri! Kitu pekee unachotakiwa kuwalinganisha ni performance yao wakiwa wote, maana hata Farid Mussa alicheza Hispania. Mimi nijuavyo Saido amesaini Yanga akitokea Burundi
 
Seidoo si lolote ule kuja tu Utopolo ni hovyoo kabisa yaani angeenda hata TP Mazembe auAl Ahly. Tunampa muda tu atakua kama Ngasa
Huyo mnaemuita Messi wenu Mamelodi palimshinda.
 
Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Wabrazil walipotua msimbazi walisema "ooh,kacheza na Neymar " anakuja bongo! Sasa huyu kapanda au????
 
Wakat Sarpong anafika mlimuimba sana mara oooh goal machine mara atabeba kiatu ila mpaka mda huu anazidiwa na Lamine Moro kwa magoal. Kiukweli Saido ni mzuri ila not to that extent mnavyomsema, free kick alopiga hata Morison aliipiga dhidi ya Simba kwa hiyo sion la ajabu. Ila uzuri wabongo wanakupandisha wao na wanakushusha wao.
 
Na ile free kick ndiyo ilisababisha Morrison asajiliwe Simba.
 
Free kick ya saidoo ni tofauti sana na ya morrison japo ya morrison pia ilikuwa ni bora pia,angalia saidoo amepigia engo ipi,mtazame jinsi alivyokuwa anamchungulia kupa,na angalia ike curl alivyoipiga,ni kiki bora sana
 
Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Amecheza mechi ngapi VPL.Naomba performance yake.tuanzie hapo.
 
Hili linaonyesha ni kiasi gani kiwango cha vpl kipo kipo chini.
Mchezaji kama saido anakuja kuwa superstar
 
Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Sawa vaa kjora chako ukacheze singeli. Football ina wenyewe
 
Ngoja wakina sarpong mampige misumari tutaelewana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…