Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa hiyo unamlinganisha kwa sasa au kwa wakati ule? Maana kwa sasa wote wanacheza ligi ya Bongo. Ni sawa na baba kumfokea mwanaye kwamba hauwezi kulingana na mimi umri, jambo ambalo ni dhahiri! Kitu pekee unachotakiwa kuwalinganisha ni performance yao wakiwa wote, maana hata Farid Mussa alicheza Hispania. Mimi nijuavyo Saido amesaini Yanga akitokea BurundiTofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc