Hakuna mchezaji wa kumlinganisha na Saidoo hapa Bongo

Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Alicheza France au alienda kutalii tu kama akina okwi na boban ,ebu weka rekod zake uko frence na Turkey mechi alizocheza na goal au ata asist tu
 
Tanzania hii ina ujinga mwingi sana , wachambuzi uchwara na wasikilizaji uchwara ,
Saidoo , mida utaongea
 
Ukweli unaujua,CV yake nikubwa kuliko wachezaji wengi wa VPL
Anachezea Yanga sasa. CV yake ilimsaidia kutoka timu ndogo kwenda timu kubwa. Sitarajii kama CV yake imemsaidia kutoka timu kubwa kwenda timu ndogo. Timu ndogo automatically itamuhitaji, wakati timu kubwa yeye ataihitaji
 
Pesa zilitembea ili mzee saido aweze kumpiku Mayele
 
Uzi wa muda mrefu ila bado ukweli umedhihirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…