Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza sauti jamaa[emoji3][emoji3]free kick kama free kick[emoji16]Na ile free kick ndiyo ilisababisha Morrison asajiliwe Simba.
Alicheza France au alienda kutalii tu kama akina okwi na boban ,ebu weka rekod zake uko frence na Turkey mechi alizocheza na goal au ata asist tuTofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Farid, Mukoko, Kisinda, Saido wamefata nn huku?Huyo mnaemuita Messi wenu Mamelodi palimshinda.
Anachezea Yanga sasa. CV yake ilimsaidia kutoka timu ndogo kwenda timu kubwa. Sitarajii kama CV yake imemsaidia kutoka timu kubwa kwenda timu ndogo. Timu ndogo automatically itamuhitaji, wakati timu kubwa yeye ataihitajiUkweli unaujua,CV yake nikubwa kuliko wachezaji wengi wa VPL
Vp hii comment tuifute au tuiache 😆😆😆Huyo kisado anachezea timu gani?
Daaah mkuu[emoji28][emoji28][emoji28],kweli ogopa Mungu na teknolojiaHuyo kisado anachezea timu gani?
MhhhhHuyo kisado anachezea timu gani?
HAhhahhaaHata yule mcheza baikoko wa kireno alipokuja mlimpa sifa lukuki.View attachment 1655271
Kisado anachezea kolokoloniHuyo kisado anachezea timu gani?
[emoji849][emoji849]Huyo anaitwa 'mzee saidi' . Hilo ndo jina lake hata likirembwa mzee saidi ni mzee saidi tu.Mwacheni ale pensheni yake maisha magumu ufaransa