Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kachukua namba ya nani?Akiteguka haponi huyo.nipe mwezi mmoja atapigwa misumari atakuwa majeruhi miezi sita akipona tayari miaka 36
NtibatunganyaNtibanzokinza👐👐🏃🏃🏃
😁😁😂😂Ntibatunganya
Ni kweli kabisaTofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Sio ntibantunganya,ni ntibazonkiza[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Muulize karinyosKwani kachukua namba ya nani?
Wewe ndo privalidinho?Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Tupe statistics zake akiwa ufaransa Mkuu!Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
Mbona maelezo yako Mkuu yanaendana na privalidinho mchambuzi uchwara katika soka,au wewe ndo umecopy maneno yake?Hapana mkuu
Sijafanikiwa Mkuu nimejaribu lakini sioni mkuu,nisaidie !Google, dunia ni kama kijiji
Kutoka kucheza ligi ya Ufaransa hadi kuja Utopolo ina maana amekwisha huyo.Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc