Hakuna Mchezaji wa Simba SC aliyecheza anaweza Ingia Kwenye First 11 Ya YANGA SC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Leo nimecheki game ya simba sc dhidi ya Prison ambapo simba wamepoteza kwa goli moja.

Kuanzia kikosi cha kwanza hadi walio kaa benchi hakuna mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha wachezaji 11 wa Mabingwa wa Kihistoria wa Mara 28 wa Ligi Kuu Bara.



Simba mna kazi kubwa sana ya ku-UPGRADE kikosi chenu.

Ukizingatia wachezaji wengi ni Above 30.
 
Nina fahamu wengi mtashangaa kwanini nimemuweka Inonga kwenye kundi moja.

Ni kweli amekuwa na msimu mzuri kama ukizingatia zile mechi alizo mkaba Mayele tu.

Overall perfomance yake inakosa consistance.

Binafasi aina yake ya uchezaji nina mfananisha na Ibrahim BACCA.
 
Nilikuwa na shabiki wa simba sc pale jangwani.

Baada ya kusikia simba kafungwa na prison akauliza β€œkwani simba anacheza leo!”

[emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna kipindi niliamini katika mashabiki wa Yanga wenye akili timamu, ni demigod na Sibonike ambaye siku hizi haonekani hapa

Kwa namna kila siku unavyoandika pumba yaani, najilaumu sana kuamini vile.
 
Hawa mbwa wamenikera leo
Mkuu usiwaite mbwa wachezaji usifikirie huko, wewe hujaanza leo kufuatia mpira...!

Kwenye mpira yakubali matokeo matatu

Hata wao wamesota si kwamba walitaka ila walilazimika kuwa hivyo, na hakuna timu ambayo inakuwa na mafaniko muda wote haipo duniani,
hivi Tp Mazembe ya zamani au Barcelona ya wakati ule ndo hii..?

Kuna la kujifunza hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…