Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda dunia ya warembo wauza rasta na mawigi. Yani watu mfano tuu nchi kama misri yenye club bora wasimame kuangalia utopoolo club isiyojulikana hata hapo congo tuu hawana mudaDunia leo imesimama kwa sababu tu ya ubingwa wa Wananchi!
Hatari sana.
Huyo si rfk na yule msouth wenu yule sijui nani vile sijui Senzo au zenso? Kamshutua jamaa afanye publicty.Yanga inatoa shule jinsi ya kusheherekea ubingwa sio tu Tz bali Africa nzima
Wivu wenu imepita kipimoHuyo si rfk na yule msouth wenu yule sijui nani vile sijui Senzo au zenso? Kamshutua jamaa afanye publicty.
Umemeza dawa zako ...nianzie hapo kwanzaLeo nimecheki game ya simba sc dhidi ya prison ambapo simba wamepoteza kwa goli moja.
Kuanzia kikosi cha kwanza hadi walio kaa benchi hakuna mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha wachezaji 11 wa Mabingwa wa Kihistoria wa Mara 28 wa Ligi Kuu Bara.
View attachment 2273322
Simba mna kazi kubwa sana ya ku-UPGRADE kikosi chenu.
Ukizingatia wachezaji wengi ni Above 30.
Humu jf kuna vituko aiseeh, kwahiyo Pitso ndiye dunia yenyewe?Kama huwamini nenda kwenye Twitterya kocha wa Al Alhy Masimane utaamini hili
Si amesema "mbwa" au ?Nani hao? Yanga SC?
Hama kwanza nyumbani.Leo nimecheki game ya simba sc dhidi ya prison ambapo simba wamepoteza kwa goli moja.
Kuanzia kikosi cha kwanza hadi walio kaa benchi hakuna mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha wachezaji 11 wa Mabingwa wa Kihistoria wa Mara 28 wa Ligi Kuu Bara.
View attachment 2273322
Simba mna kazi kubwa sana ya ku-UPGRADE kikosi chenu.
Ukizingatia wachezaji wengi ni Above 30.
Aisee dahNina fahamu wengi mtashangaa kwanini nimemuweka Inonga kwenye kundi moja.
Ni kweli amekuwa na msimu mzuri kama ukizingatia zile mechi alizo mkaba Mayele tu.
Overall perfomance yake inakosa consistance.
Binafasi aina yake ya uchezaji nina mfananisha na Ibrahim BACCA.
.Leo nimecheki game ya simba sc dhidi ya Prison ambapo simba wamepoteza kwa goli moja.