Sijui ilikuaje watu wa dizaini ya Jiwe wakaingia kwenye mfumo nyeti aiseeeWanaomkumbuka ni Watu wanaopenda Ukabila Ukanda Wahamiaji haramu na kundi kubwa la Mazezeta lisilojua tofauti ya Propaganda na uhalisia.
Lazima uwe na makasiriko plus chuki, KUTUMBULIWA sio mchezo.Wanaomkumbuka ni Watu wanaopenda Ukabila Ukanda Wahamiaji haramu na kundi kubwa la Mazezeta lisilojua tofauti ya Propaganda na uhalisia.
Mkuu, umeanza kujivunjia heshima aisee! Staki uwe hivyo!Wanaomkumbuka ni Watu wanaopenda Ukabila Ukanda Wahamiaji haramu na kundi kubwa la Mazezeta lisilojua tofauti ya Propaganda na uhalisia.
Ndo matokeo ya kufanya maamuzi kibabe na kupuuza taratibu tulizojiwekea kama nchi.hivi mfano mtu kama aliporwa labda mil 2 kiasha akasema ameporwa bil 2, nani atathitisha. mi naona mtoa mada ana point. si suala la chuki au nini ni logic tu
Endeni mahakamani madai yenu yathibitishwe, sio kuandika namba za sh hakafu udai kurudishiwa, huuu ni mwendelezo wa vilaza tu mnaotaka iwe hivyoMungu wa Mbinguni akusamehe sana. Kwa hakika hujui unenacho. Mimi ninayeandika hapa ni mlipa kodi lakini nilionenewa kibabe milioni 230 Nikazilipa Kwa uchungu mwingi na maumivu ninayoyajua peke yangu. Kiuchumi nimejeruhika sana . Acha mijadala ikupite usiwape watu ghazabu ndugu yangu
Boss, Taratibu za ulipaji hazijawekwa wazi, zikiwekwa tutazikosoa kama zina mapungufu.Mkuu, umeanza kujivunjia heshima aisee! Staki uwe hivyo!
Kila mlalamikaji serikali inaweza kumlipa.? Au kila mwenye madai yanayothibitishwa ndio alipwe?
Za ulipaji Kwa nani boss, Kwa wanaolalamika?Boss, Taratibu za ulipaji hazijawekwa wazi, zikiwekwa tutazikosoa.
Hata taratibu za kuchukua hizo fedha hazikufata sheria. Zingefuata sheria zoezi lingekuwa jepesi hili.Za ulipaji Kwa nani boss, Kwa wanaolalamika?
Basi hatuna viongozi wanaosimamia sheria!
Tunauhakika gani?Hata taratibu za kuchukua hizo fedha hazikufata sheria. Zingefuata sheria zoezi lingekuwa jepesi hili.
Nasikitika sana kwa post yako hii.Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma
Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao
Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?
Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?
Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania
Salamu Tanzania
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma
Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao
Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?
Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?
Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania
Salamu Tanzania
Ni simple tu mkuu.Tunauhakika gani?
Lazima uwe na makasiriko plus chuki, KUTUMBULIWA sio mchezo.
Kwa taarifa yako mimi ni multi skilled person situmbulikiš
Unaandaliwa ulaji kama reimbursement ya mafutaAliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma
Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao
Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?
Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?
Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania
Salamu Tanzania
Madai nayathibitishwa kwanza ndio mlungula unasoma.Mkuu, umeanza kujivunjia heshima aisee! Staki uwe hivyo!
Kila mlalamikaji serikali inaweza kumlipa.? Au kila mwenye madai yanayothibitishwa ndio alipwe?
Serikali imekuwa mahakama.?Ni simple tu mkuu.
Madai yalikuwa ya nn?
Uhalali wa madai ulihalalishwa na chombo gani?
Mazingira gani yalitumika kushinikiza malipo ya madai?
Malipo ya madai yalifanyika kwa mfumo upi.
Reference: Tafuta mtu mmoja tu wa karibu anayelalamika hili lilimpata utrace majibu ya hayo maswali.