Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Mungu wa Mbinguni akusamehe sana. Kwa hakika hujui unenacho. Mimi ninayeandika hapa ni mlipa kodi lakini nilionenewa kibabe milioni 230 Nikazilipa Kwa uchungu mwingi na maumivu ninayoyajua peke yangu. Kiuchumi nimejeruhika sana . Acha mijadala ikupite usiwape watu ghazabu ndugu yangu
 
Wanaomkumbuka ni Watu wanaopenda Ukabila Ukanda Wahamiaji haramu na kundi kubwa la Mazezeta lisilojua tofauti ya Propaganda na uhalisia.
Mkuu, umeanza kujivunjia heshima aisee! Staki uwe hivyo!

Kila mlalamikaji serikali inaweza kumlipa.? Au kila mwenye madai yanayothibitishwa ndio alipwe?
 
hivi mfano mtu kama aliporwa labda mil 2 kiasha akasema ameporwa bil 2, nani atathitisha. mi naona mtoa mada ana point. si suala la chuki au nini ni logic tu
Ndo matokeo ya kufanya maamuzi kibabe na kupuuza taratibu tulizojiwekea kama nchi.
 
Mungu wa Mbinguni akusamehe sana. Kwa hakika hujui unenacho. Mimi ninayeandika hapa ni mlipa kodi lakini nilionenewa kibabe milioni 230 Nikazilipa Kwa uchungu mwingi na maumivu ninayoyajua peke yangu. Kiuchumi nimejeruhika sana . Acha mijadala ikupite usiwape watu ghazabu ndugu yangu
Endeni mahakamani madai yenu yathibitishwe, sio kuandika namba za sh hakafu udai kurudishiwa, huuu ni mwendelezo wa vilaza tu mnaotaka iwe hivyo
 
Mkuu, umeanza kujivunjia heshima aisee! Staki uwe hivyo!

Kila mlalamikaji serikali inaweza kumlipa.? Au kila mwenye madai yanayothibitishwa ndio alipwe?
Boss, Taratibu za ulipaji hazijawekwa wazi, zikiwekwa tutazikosoa kama zina mapungufu.
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Nasikitika sana kwa post yako hii.

Upo ushahidi usio na shaka fedha zimechukukiwa tena bank sio uchochoroni. Bank officers ni mashahidi number moja.

Pili walioenda kuchukua wapo na maelezo yaliyolewa kwa bank husika.

Wapo waliopelekwa TrAB and TRAT na kushinda kesi zao. Wapo walioombwa kutoenda mahakani maana vielelezo vipo vya kutosha kwamba hela zao zilichukuliwa na kikosi kazi.

Sasa kusema ni ufujaji au waende mahakamani wakati mdaiwa anakiri kuchukua kuna hoja hapo.

Pamoja na fedha kuchukuliwa wakiteswa, walinyanyaswa na kudhalilishwa hiyo yote wamesamehe. Na wengi wameomba kurejeshewa walau nusu ya fedha zao maana ni mitaji yao na wengine ilikua mikopo.
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania

Ww ndio uliyekuwa kwenye vikosi vya uporaji, hivyo unaogopa zikihojiwa itakula kwako.
 
Tunauhakika gani?
Ni simple tu mkuu.

Madai yalikuwa ya nn?
Uhalali wa madai ulihalalishwa na chombo gani?
Mazingira gani yalitumika kushinikiza malipo ya madai?
Malipo ya madai yalifanyika kwa mfumo upi.

Reference: Tafuta mtu mmoja tu wa karibu anayelalamika hili lilimpata utrace majibu ya hayo maswali.
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Unaandaliwa ulaji kama reimbursement ya mafuta
 
Serikali inapesa za kuchezea kwenye mambo yasiyokuwa ya msingi.

Hao hao wanaowalipa wenye vyeti feki na wakwepa kodi ndio hao hao wanaokopa matrilioni ili wajenge vyoo na madarasa.

Na ndio hao hao wanaoendesha nchi gizani na uhaba wa maji kila mahali.
 
Mkuu, umeanza kujivunjia heshima aisee! Staki uwe hivyo!

Kila mlalamikaji serikali inaweza kumlipa.? Au kila mwenye madai yanayothibitishwa ndio alipwe?
Madai nayathibitishwa kwanza ndio mlungula unasoma.
 
Ni simple tu mkuu.

Madai yalikuwa ya nn?
Uhalali wa madai ulihalalishwa na chombo gani?
Mazingira gani yalitumika kushinikiza malipo ya madai?
Malipo ya madai yalifanyika kwa mfumo upi.

Reference: Tafuta mtu mmoja tu wa karibu anayelalamika hili lilimpata utrace majibu ya hayo maswali.
Serikali imekuwa mahakama.?

Mashahidi ni kina Nani Kwa wakati huo mkuu,

Si ni rahisi tu mlalamikaji kusema aliporwa bilioni kadhaa ilihali kumbe ni million moja tu
 
Back
Top Bottom