livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma
Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitengenezea biashara zao kupitia malamiko haya, na endapo yupo aliyeporwa, maana yake, Yuki huru kwenda mahakamani, Kwa jinsi hii tarifa zinapokuja tu eti walalamikaji wa kuilalamikia serikali kuwa waporwa walipwe fedha zao, ni uhujumu uchumi wa aina ya kiuhuni kabisa!
Kuna kiongozi Mkubwa pia aliwahi kuilalamikia serikali kuwa alitekwa na serikali, kumbe alikuwa kanywa gongo huko ikathibitika hivyo, Je, sasa, serikali kama inaamua kudili na malalamiko hewa haya yasiyothibitka mahakamani, haitalipa mapateli kama yule kiongozi alyesingizia serikali kumteka kumbe alilewa.?
Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali? Je, kuna madai popote kwenye mahakamani zetu?
Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?
Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania
Salamu Tanzania
[mention]Paulsylvester [/mention] Hoja Yako ina Mashiko Makubwa na Jicho Pevu Sana, hii ni kwa Big Thinkers tu ndio wataelewa.
Naamini mtoa maada bila shaka unatambua kuwa ni kweli Wapo walioumizwa kwa kuporwa Mali zao ndio wanaotakiwa kunufaika isipokuwa tu Wapitie utaratibu rasimi wa Kwenda Mahakamani na Mashauri yao yaamuriwe na Mahakama.
Kufanya hivyo itafahamika ni nani anayestahili kulipwa na nani hastahili , mbali na Hilo fedha zitakazotakiwa kulipwa kwa waasirika zitafahamika, na Sio tu Wahuni Vigogo Serikalini kujifanya Mahakimu na Kutaka Kulipa Mali ya Umma kwa Watu tu wanaosadikika kuwa waliporwa wakati ukweli haujafahamika publicaly.
Hapa Wasaka Tonge Wapo hewani Kupiga Dili, Time will Justify this