Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitengenezea biashara zao kupitia malamiko haya, na endapo yupo aliyeporwa, maana yake, Yuki huru kwenda mahakamani, Kwa jinsi hii tarifa zinapokuja tu eti walalamikaji wa kuilalamikia serikali kuwa waporwa walipwe fedha zao, ni uhujumu uchumi wa aina ya kiuhuni kabisa!

Kuna kiongozi Mkubwa pia aliwahi kuilalamikia serikali kuwa alitekwa na serikali, kumbe alikuwa kanywa gongo huko ikathibitika hivyo, Je, sasa, serikali kama inaamua kudili na malalamiko hewa haya yasiyothibitka mahakamani, haitalipa mapateli kama yule kiongozi alyesingizia serikali kumteka kumbe alilewa.?

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali? Je, kuna madai popote kwenye mahakamani zetu?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania

[mention]Paulsylvester [/mention] Hoja Yako ina Mashiko Makubwa na Jicho Pevu Sana, hii ni kwa Big Thinkers tu ndio wataelewa.

Naamini mtoa maada bila shaka unatambua kuwa ni kweli Wapo walioumizwa kwa kuporwa Mali zao ndio wanaotakiwa kunufaika isipokuwa tu Wapitie utaratibu rasimi wa Kwenda Mahakamani na Mashauri yao yaamuriwe na Mahakama.

Kufanya hivyo itafahamika ni nani anayestahili kulipwa na nani hastahili , mbali na Hilo fedha zitakazotakiwa kulipwa kwa waasirika zitafahamika, na Sio tu Wahuni Vigogo Serikalini kujifanya Mahakimu na Kutaka Kulipa Mali ya Umma kwa Watu tu wanaosadikika kuwa waliporwa wakati ukweli haujafahamika publicaly.

Hapa Wasaka Tonge Wapo hewani Kupiga Dili, Time will Justify this
 
You have a point. Tuhuma ya Serikali kugeuka jambazi haiwezi kumalizwa kimyakimya mezani. Haijulikani nani aliporwa pesa, nani anarudishiwa pesa zake. Ni lazima tuone nani alilalamika mahakamani, wananchi wakajua kesi iliyonguruma na hukumu ilisermaje.

Hivi inatokeaje Serikali ituhumiwe ujambazi na wananchi, bado Serikali hiyohiyo ikubali kumaliza jambo hilo kimyakimya?! Kufanya hviyo ni Serikali kukiri ujambazi. na Serikali jambazi inakosa uhalali wa kuongoza nchi kwa sababu wananchi hatuwezi kuwa na imani nayo. Duniani kote Serikali hutokana Na chama cha siasa. Kama Serikali Iliyopo madarakani imetuhumiwa kunyang'anya wananchi wake pesa Basi chama tawala kilichoweka Serikali hiyo madarakani pia ni jambazi. It's just a logic, haihitaji akili mingi kutambua Hilo.
Hapo Serikali inakiri ujambazi wa marehemu, siyo Serikali. Pesa haikuporwa na Serikali, iliporwa na Magufuli, na wala haikupelekwa Serikalini.
 
Paulsylvester, tuanze na hili;

√ Je, ni kweli wote tunakubaliana kuwa serikali ilitumia nguvu ikiwemo jeshi la wananchi (JWTZ) kule Arusha kuchukua pesa kwa nguvu kwenye maduka ya watu ya kubadilishia fedha za kigeni na kwa mfanyabiashara yeyote aliyeonekana ana kiasi kikubwa cha pesa benki..?

Je, hukumbuki kuwa watu walifungwa magerezani kwa kisingizio cha ukwepaji kodi na mwisho ili watoke kwenye mateso ya gerezani walilazimishwa kutoa kiasi fulani cha pesa kwa kilichoitwa "Plea bargaining" ambayo ilikuwa kunyume cha utaratibu na sheria...?

Swali: Serikali yenyewe kwa kufanya vile wakati ule ilitumia mahakama gani iliyoruhusu iwafanyie watu uporaji ule..?

KWA MAONI YANGU:

1. Serikali imefanya vyema, kwani wakati inapora haikutumia mahakama na sasa irudishe fedha za watu kwa njia ileile...

2. Hizo siyo fedha za walipa kodi kama unavyodai. Tangu lini fedha ya kuibia mwenzako ikawa yako..? Kwa hiyo, ni vyema sana seeikali iwarudishie watu fedha zao ilizochukua kwa nguvu bila sababu za kufanya vile...!!

3. Wakienda mahakamani, watashinda kesi na itabidi serikali ilipe mara mbili na fidia juu. Kama mazungumzo yameshafanyika nje ya mahakama na ikaonekana walinyang'anywa pesa zao kwa uonevu tu bila sababu, kurudisha mali ya mtu huyo ni uungwana na ni haki...!

NOTE:
Tunachoweza kudai sisi ili kuondoa hayo mashaka uliyonayo ya baadhi ya viongozi wa serikali kutumia nafasi hiyo kuiba tena fedha ya umma, ni kuitaka serikali ifanye zoezi hili kwa UKWELI na UWAZI..

Yaani, majina ya wote wanaodai waliporwa pesa zao yawekwe wazi, kiasi alichoporwa na kinachorejeshwa kwake nk nk

Unafikiri ni Sahihi kuwa Mtu Ukimkosea Kwa Kumtukana nae Aje Alipize kwa Kukutukana, this is a bit terrible Lol,

Utawala wa Kisheria mbona hamtaki ufuatwe, Kufanya hivyo ni kuignoo Mahakama.

Hata kama Serikali ilipora hela za Watu bila Kushirikisha Mahakama, Lakini bado tu haiwezi kuwa Sahihi Watu Kurudishiwa wanachodai bila kushirikisha mahakama ambayo inamamlaka ya Kuamua yote hayo.

Utaratibu ufuatwe, sheria na Taratibu zipo ili zifuatwe.

Kufuata Utaratibu hela Nyingi za Walipa Kodi Zitaokolewa na Waasirika watapata haki zao.
 
Yaani tangu Mbowe alambishwe asali na Mamá basi na wewe umekuwa wa hovyo sana ktk comments zako

Haiingii akilini Serikali itake kulipa mabilioni ya fedha kisa tu malalamiko yasiyo na uthibitisho

Serikali ituambie hao waliopora ni kina nani, pesa zilizoporwa zipo wapi, walioporwa wamefungua madai yoyote mahakamani.

Hofu yangu isije kuwa ni mpango kazi wa wajanja wachache waliomshika Mamá huko Serikalini ili wapige vibuyu vya asali vya kutosha, tukumbuke Serikali inamiliki pesa zitokanazo na kodi zetu

Serikali inataka kulipa waliotumbuliwa kwa kufoji vyeti, wanaolalamika kuporwa pesa nk HUU NI MPANGO KAZI WA KIFISADI
Fisadi mkuu alikuwa ni Magufuli. Alisema anatumbua vyeti fake, mbona hakumtumbua Makonda, Mwigulu au Kigwangala, ambao wote mpaka leo wanatumia majina yasiyo yao?

Marehemu alikuwa ni mtu mnafiki mkubwa. Alikuwa kiongozi mwongo, laghai na mwizi (trilioni 1.5 mpaka leo haijulikani alipeleka wapi. Pesa aluziwapora aliowabambikia kesi za uhujumu uchumi, alizichukua yeye binafsi).
 
Mungu wa Mbinguni akusamehe sana. Kwa hakika hujui unenacho. Mimi ninayeandika hapa ni mlipa kodi lakini nilionenewa kibabe milioni 230 Nikazilipa Kwa uchungu mwingi na maumivu ninayoyajua peke yangu. Kiuchumi nimejeruhika sana . Acha mijadala ikupite usiwape watu ghazabu ndugu yangu
Pole ndugu yangu.

Utambue kuwa SHETANI ana mtiririko wa uongozi. Ule utawala ulikuwa utawala wa shetani. Yule alikuwa ni shetani katika umbile la mwanadamu. Na katika kutekeleza ule ushetani, ni lazima awe na wasaidizi, mmojawapo ni kama huyu mleta mada.

Aliyeondoka Duniani, niyeye pekee yake, wale mawakala wadogo wa shetani bado tunao, na wataendelea kufurukuta kwa kila namna, lakini Mungu hatoi nafasi mara mbili kwa shetani.
 
Unafikiri ni Sahihi kuwa Mtu Ukimkosea Kwa Kumtukana nae Aje Alipize kwa Kukutukana, this is a bit terrible Lol,

Utawala wa Kisheria mbona hamtaki ufuatwe, Kufanya hivyo ni kuignoo Mahakama.

Hata kama Serikali ilipora hela za Watu bila Kushirikisha Mahakama, Lakini bado tu haiwezi kuwa Sahihi Watu Kurudishiwa wanachodai bila kushirikisha mahakama ambayo inamamlaka ya Kuamua yote hayo.

Utaratibu ufuatwe, sheria na Taratibu zipo ili zifuatwe.

Kufuata Utaratibu hela Nyingi za Walipa Kodi Zitaokolewa na Waasirika watapata haki zao.
Siyo kila jambo huamliwa na mahakama. Kuna masuala mengine ni ya kiutawala, yanaamliwa kwa kupitia ofisi za kiutawala.

Na ndiyo maana hata kwenyr mikataba yote, utaona kuna kipengere kinasema, endapo kutatokea mgogoro, pande zinazohusika zitajitahidi kuumaliza mgogoro huo kimaelewano, na endapo njia zote za maelewano zitakuwa zimeshindikana, upande ambao haukuridhika utakwenda mahakamani.

Kama kila jambo maamuzi ni mahakamani tu, basi kusingekuwa na ofisi za utawala mahali popote. Kila suala ingeachiwa mahakama iamue.

Kama wahusika wakuu ambao ni Serikali na walioporwa pesa na marehemu wamekubaliana, tatizo liko wapi? Wewe kama mlipa kodi, kama hukuridhika na makubaliano kati ya Serikali na Walioporwa pesa na marehemu Magufuli, una uwezo wa kuishtaki Serikali na hao waliolipwa pesa yao.

Siku zote, kwenye suala madai, mahakamani huwa ni hatua ya mwisho baada ya pande zinazohusika kushindwa kukubaliana.
 
[mention]Bams [/mention] hakuna mtu anayebisha kuwa Watu hawakuporwa, Yawezekana hata wewe ulikuwa Muathirika pia na wote wanastahili kupewa haki zao na Ikibi na Faida juu.

Hoja ya Msingi hapa ni kwamba, isije ikatokea watu ambao hata Tsh 100 Hakuporwa ila kwa Sababu anamamlaka tu basi nayeye anapitishiamo Dili la Kupigia hela, [mention]Bams [/mention] lielewe hili, hamna anayepinga hoja yako Mkuu.
 
Hapo Serikali inakiri ujambazi wa marehemu, siyo Serikali. Pesa haikuporwa na Serikali, iliporwa na Magufuli, na wala haikupelekwa Serikalini.
Wanasemaga Rais wa Jamhuri ni icon ya Serikali. Tutatofautishaje?
 
Yaani tangu Mbowe alambishwe asali na Mamá basi na wewe umekuwa wa hovyo sana ktk comments zako

Haiingii akilini Serikali itake kulipa mabilioni ya fedha kisa tu malalamiko yasiyo na uthibitisho

Serikali ituambie hao waliopora ni kina nani, pesa zilizoporwa zipo wapi, walioporwa wamefungua madai yoyote mahakamani.

Hofu yangu isije kuwa ni mpango kazi wa wajanja wachache waliomshika Mamá huko Serikalini ili wapige vibuyu vya asali vya kutosha, tukumbuke Serikali inamiliki pesa zitokanazo na kodi zetu

Serikali inataka kulipa waliotumbuliwa kwa kufoji vyeti, wanaolalamika kuporwa pesa nk HUU NI MPANGO KAZI WA KIFISADI
Hivi nyinyi mnadhani Magufuli alivyokuwa anapora hela za watu ilikuwa siri ? Kwani aliokuwa anawatuma nao wamekufa ? si kafa yeye tu ! Ushahidi wa uchafu wake uko nje nje mbona !

Unawafahamu hawa hapa pichani , unajua hapa walikuwa wanafanya nini ?

Kama hukuwahi kunyang'anywa hela na Magufuli , Just Shut Up !

Philipo Mpango ndiye alikuwa Waziri wa fedha unadhani hakuyajua haya ?

FB_IMG_1665831491154.jpg
 
Hivi unajua kwenda mahakamani nini kingetokea? Utalipa hiyo pesa pamoja na riba. Kama unajua umefanya kosa na huwezi shinda kesi, lipa hela za watu!
 
Angalia wanaompinga mtoa mada utagundua akili za watanzania ni za ajabu kuliko binadam mwingine yeyote. Sasa mnampinga na kumkashifu ili watu walipwe tu bila utaratibu? Hivi kama mtu hajapeleka madai mahakamani akatambulika na kesi ikasikilizwa, serikali inaamuaje kumlipa tu mtu? Mnaopinga mlitaka serikali ilipe kwa utaratibu gani?

Kalale, hujui kuna gharama kuanzisha kesi
 
[mention]Paulsylvester [/mention] Hoja Yako ina Mashiko Makubwa na Jicho Pevu Sana, hii ni kwa Big Thinkers tu ndio wataelewa.

Naamini mtoa maada bila shaka unatambua kuwa ni kweli Wapo walioumizwa kwa kuporwa Mali zao ndio wanaotakiwa kunufaika isipokuwa tu Wapitie utaratibu rasimi wa Kwenda Mahakamani na Mashauri yao yaamuriwe na Mahakama.

Kufanya hivyo itafahamika ni nani anayestahili kulipwa na nani hastahili , mbali na Hilo fedha zitakazotakiwa kulipwa kwa waasirika zitafahamika, na Sio tu Wahuni Vigogo Serikalini kujifanya Mahakimu na Kutaka Kulipa Mali ya Umma kwa Watu tu wanaosadikika kuwa waliporwa wakati ukweli haujafahamika publicaly.

Hapa Wasaka Tonge Wapo hewani Kupiga Dili, Time will Justify this
Asante mkuu, na ubarikiwe, hii nchi ni yetu sote, tulijiwekea sheria na taratibu, basi ni vema tukaifuata na sio kuzivunja na kutoheshimu mihimili mingine
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Pole ndugu yangu.

Utambue kuwa SHETANI ana mtiririko wa uongozi. Ule utawala ulikuwa utawala wa shetani. Yule alikuwa ni shetani katika umbile la mwanadamu. Na katika kutekeleza ule ushetani, ni lazima awe na wasaidizi, mmojawapo ni kama huyu mleta mada.

Aliyeondoka Duniani, niyeye pekee yake, wale mawakala wadogo wa shetani bado tunao, na wataendelea kufurukuta kwa kila namna, lakini Mungu hatoi nafasi mara mbili kwa shetani.
Lugha yako hii ya kijinga haikuondolei sifa zako za kufoji na kutumia majina ya watu ili hali wewe hata shule huna ni form four felia

Yaani serikali Iwe na dirisha la kulipa kila anayelalamika kuporwa fedha!

Tunaweza kujitahidi kuondoa maradhi na umasikini, ila ujinga!! Sielewi ikiwa kweli utawaisha wehu wa ccm
 
Angeenda kushtaki wapi?? Kila mahali plikuwa panaongozwa na button moja?? Huo wakati Kuna mtu alikuwa anaweza kuishtaki serkali mahakamani?? Yani ushafanywa maskini wa kutupwa na MSONGO wa màwazo juu unaanzaje Sasa kushtaki??

Serkali UMIZA Ile, eti Hadi diwani tu akitaman Mali ya RAIYA mwema anaichukua, madc kama sabaya, Marc kama makonda wamechukua Mali za watu, Bado serkal yenyewe, it was terrible
Kwani sasa bado hizo button zipo, si waende sasa?
 
Ni kweli hawakuporwa pesa na Serikali, waliporwa na Jiwe na mtu wake wa karibu, bwana mganga.

Kama wangekuwa wameporwa na Serikali, pesa ingeenda Serikalini. Pesa hiyo, CAG hajaiona mahali popote ndani ya hazina au taasisi zilizo chini ya Serikali.

Mwendazake alizipora pesa hizo kwa kutumia madaraka yake. Ni sawa na mtoto jambazi akaenda kwa majirani na mtutu wa bunduki, akawapora majirani pesa akidai kuwa anatekeleza maagizo ya Baba yake. Bahati, mtoto akafa. Baba akataka mahusiano mema na majirani. Pesa aliyopora mtoto kwa jina la Baba, hata haikumfikia Baba, lakini Baba akaamua kuwarudishia majirani zake waliokuwa wameporwa na mtoto jambazi.

Nadhani inachofanya Serikali ni sahihi kabisa, lakini pesa ile iliyoporwa na marehemu, lazima iko mahali. Marehemu hajaenda na pesa hiyo kaburini. Wakamatwe akina mganga ili waeleze hiyo pesa iko wapi.
Ukisemacho hiki, peleka mahakamani mkuu, acha kujifanya mjinga eti serikali ilipe kila anayelalamika kuibiwa
 
Serikali ikianza kulipa tu fidia kwa sabb kuna watu wamelalamika kuporwa na serikali hiyo, bila mlalamikaji kwenda mahakamani na mahakama ikajiridhisha, huo ni ufisadi tuu hakuna jina lingine zaidi ya hilo
Nitashangaa zaidi kama na Bunge nalo litakaa kimya haya yakifanyika
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitengenezea biashara zao kupitia malamiko haya, na endapo yupo aliyeporwa, maana yake, Yuki huru kwenda mahakamani, Kwa jinsi hii tarifa zinapokuja tu eti walalamikaji wa kuilalamikia serikali kuwa waporwa walipwe fedha zao, ni uhujumu uchumi wa aina ya kiuhuni kabisa!

Kuna kiongozi Mkubwa pia aliwahi kuilalamikia serikali kuwa alitekwa na serikali, kumbe alikuwa kanywa gongo huko ikathibitika hivyo, Je, sasa, serikali kama inaamua kudili na malalamiko hewa haya yasiyothibitka mahakamani, haitalipa mapateli kama yule kiongozi alyesingizia serikali kumteka kumbe alilewa.?

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali? Je, kuna madai popote kwenye mahakamani zetu?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Kwa mfano kuna yule mhuni anadai alimpa sabaya rushwa eti ni moja wapo ya mambo alishitakiwa nayo sabaya.
Mtu kama alitoa rushwa wakati wa awamu ya 5 iweje yeye haonekani ni mkosaji ila sabaya ndio amebanwa kwa kuhongwa. Mambo ya uhuni tu.
Serikali hii inaweza kabisa kuja na wahuni wakidai warejeshewe hela eti walidhulumiw awamu ya 5 na kisha wakalipwa.
 
Kuna kichaka kitatumika kuiba pesa ya umma.Madai halali yatabaki halali iwapo mahakama imeyathibitisha .Mahakama kwa sasa iko huru zaidi ya wakati ule !
 
Hiyo inanisaidiaje Mimi common mwananchi naekosa Maji na umeme na gharama za maisha zikiwa juu.
 
Back
Top Bottom