Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitengenezea biashara zao kupitia malamiko haya, na endapo yupo aliyeporwa, maana yake, Yuki huru kwenda mahakamani, Kwa jinsi hii tarifa zinapokuja tu eti walalamikaji wa kuilalamikia serikali kuwa waporwa walipwe fedha zao, ni uhujumu uchumi wa aina ya kiuhuni kabisa!

Kuna kiongozi Mkubwa pia aliwahi kuilalamikia serikali kuwa alitekwa na serikali, kumbe alikuwa kanywa gongo huko ikathibitika hivyo, Je, sasa, serikali kama inaamua kudili na malalamiko hewa haya yasiyothibitka mahakamani, haitalipa mapateli kama yule kiongozi alyesingizia serikali kumteka kumbe alilewa.?

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali? Je, kuna madai popote kwenye mahakamani zetu?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Wewe taahira unaeishi kwa kutegemea posho na salary kwa Kodi na jasho la wengine utajua Nini hata biashara huna?

Ukiwa nazo ni zile zinategemea mgongo wa Serikali.
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Angeenda kushtaki wapi?? Kila mahali plikuwa panaongozwa na button moja?? Huo wakati Kuna mtu alikuwa anaweza kuishtaki serkali mahakamani?? Yani ushafanywa maskini wa kutupwa na MSONGO wa màwazo juu unaanzaje Sasa kushtaki??

Serkali UMIZA Ile, eti Hadi diwani tu akitaman Mali ya RAIYA mwema anaichukua, madc kama sabaya, Marc kama makonda wamechukua Mali za watu, Bado serkal yenyewe, it was terrible
 
Unadhani mkuu, malalamiko tu ya mtu yeyote yatoshe kulipwa fidia?

Embu fikiri kwa upya
 
Ila hii serikali ni dhaifu mnoo haiaminiki, unaweza ukakuta huo ni mchongo wa akina Makambaa na Nepi kupiga pesa za wadanganyika!.
Serikali ikianza kulipa tu fidia kwa sabb kuna watu wamelalamika kuporwa na serikali hiyo, bila mlalamikaji kwenda mahakamani na mahakama ikajiridhisha, huo ni ufisadi tuu hakuna jina lingine zaidi ya hilo
 
Roho zinawauma Sana kukiwa na harmony kwenye jamii. Shida Sana yaani.

Eti wangeenda mahakamani, unajitoaje akili kiasi hiki? Wangeenda mahakama gani?

Kwa taarifa yako Hao wanaotaka kulipa fidia walikuwepo kwenye serekali iliyopora so wanajua kila kitu, wewe muabudu mtu kaa kimya tu
 
Waliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?

Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Roho zinawauma Sana kukiwa na harmony kwenye jamii. Shida Sana yaani.

Eti wangeenda mahakamani, unajitoaje akili kiasi hiki? Wangeenda mahakama gani?

Kwa taarifa yako Hao wanaotaka kulipa fidia walikuwepo kwenye serekali iliyopora so wanajua kila kitu, wewe muabudu mtu kaa kimya tu
Tehe, Tehe!

Tatizo hata mlipotimliwa nyinyi vilaza kwa kifoji vyeti, mliamua kwenda kulala bila kurudi shule!

Narudia tena, ikiwa serikali itawalipa hao wanaodhaniwa kuwa waliporwa na serikali bila ya wao kwenda kushitaki serikali,

Hizo pesa viongozi watakaohusika kuwalipa, watazirudisha tu kama ilivyokuwa fedha za Lugemalila na Seth kugawia wezi wenzao
 
Acha undezi wewe. Kichwa na moyo vimejaa sumu tu.
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Mwanga wewe!
 
You have a point. Tuhuma ya Serikali kugeuka jambazi haiwezi kumalizwa kimyakimya mezani. Haijulikani nani aliporwa pesa, nani anarudishiwa pesa zake. Ni lazima tuone nani alilalamika mahakamani, wananchi wakajua kesi iliyonguruma na hukumu ilisermaje.

Hivi inatokeaje Serikali ituhumiwe ujambazi na wananchi, bado Serikali hiyohiyo ikubali kumaliza jambo hilo kimyakimya?! Kufanya hviyo ni Serikali kukiri ujambazi. na Serikali jambazi inakosa uhalali wa kuongoza nchi kwa sababu wananchi hatuwezi kuwa na imani nayo. Duniani kote Serikali hutokana Na chama cha siasa. Kama Serikali Iliyopo madarakani imetuhumiwa kunyang'anya wananchi wake pesa Basi chama tawala kilichoweka Serikali hiyo madarakani pia ni jambazi. It's just a logic, haihitaji akili mingi kutambua Hilo.
 
Back
Top Bottom