Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Ulishindwa kujieleza kuwa pesa imetoka wapi, inachukuliwa na serikali, sio uporaji. Ukae nazo na watu wanahitaji huduma?
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitengenezea biashara zao kupitia malamiko haya, na endapo yupo aliyeporwa, maana yake, Yuki huru kwenda mahakamani, Kwa jinsi hii tarifa zinapokuja tu eti walalamikaji wa kuilalamikia serikali kuwa waporwa walipwe fedha zao, ni uhujumu uchumi wa aina ya kiuhuni kabisa!

Kuna kiongozi Mkubwa pia aliwahi kuilalamikia serikali kuwa alitekwa na serikali, kumbe alikuwa kanywa gongo huko ikathibitika hivyo, Je, sasa, serikali kama inaamua kudili na malalamiko hewa haya yasiyothibitka mahakamani, haitalipa mapateli kama yule kiongozi alyesingizia serikali kumteka kumbe alilewa.?

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali? Je, kuna madai popote kwenye mahakamani zetu?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
brain washed fellow
 
Back
Top Bottom