Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

Kabisa mkuu, nyakati flani niliegemea sana kwa hao watu, aisee ni waongo snaa, tena ukiwapa attention unaishiwa
 
Kama vitabu vya dini vinatambua uwepo wa uchawi na uganga, wewe ni nani haswa upinge?

Nenda kamsome maalim Kisisina.

Vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama mimi na wewe

Wameandika kwa ajili ya manufaa yao hasa kutawala watu.

Hata Mungu hayupo. Yesu na wenginek waliotajwa kwenye dini ni fictional characters
 
Vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama mimi na wewe

Wameandika kwa ajili ya manufaa yao hasa kutawala watu.

Hata Mungu hayupo. Yesu na wenginek waliotajwa kwenye dini ni fictional characters
Basi nishajua tatizo lako linaanzia wapi.

Kwa heriiiiiiiii
 
Mganga si anatengeneza hela na utajiri hivi atakuwa na shida na 1.5m yako?
Mbona Mungu alieumba kila kitu anatutaka tumtolee sadaka?? Anataka sadaka ya nini wakati kila kitu,si atengeneze hizo sadaka badala atusumbue tumtolee
 
Siku yakikukuta ndo utajua dawa zipo mkuu na waganga wa kweli wapo
 
Kama kuna mganga anaweza kunisaidia jambo langu.
nitamlipa 1.5 milioni nashida kweli kweli
Mkuu apa utapata waganga matapeli wasomi waliokosa ajira,ila mganga halisi mitandao ya kijamii hua anaisikiaga tu smartphone anaweza asijue kbs ht kuitumiaa
 
Mkuu apa utapata waganga matapeli wasomi waliokosa ajira,ila mganga halisi mitandao ya kijamii hua anaisikiaga tu smartphone anaweza asijue kbs ht kuitumiaa
Wengi walikuja lakini hawakuweza kunitapeli.
Shida yangu bado haijatatuliwa
 
Mbona Mungu alieumba kila kitu anatutaka tumtolee sadaka?? Anataka sadaka ya nini wakati kila kitu,si atengeneze hizo sadaka badala atusumbue tumtolee
Zile sadaka unapigwa wanazigonga wanadamu tu. Mungu hata hazimfikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…