Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama mganga wako tapeli ni wewe buana, mganga wangu kiboko mwakani namnunulia passo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama mganga wako tapeli ni wewe buana, mganga wangu kiboko mwakani namnunulia passo.
Tupe statistics ya waganga uliowatembelea. Inaonekana wewe gwiji kwenye hilo eneoWaganga woote ni matapeli tu
Matapeli tu wala hawahitaji Data.Tupe statistics ya waganga uliowatembelea. Inaonekana wewe gwiji kwenye hilo eneo
Kama vitabu vya dini vinatambua uwepo wa uchawi na uganga, wewe ni nani haswa upinge?
Nenda kamsome maalim Kisisina.
Basi nishajua tatizo lako linaanzia wapi.Vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama mimi na wewe
Wameandika kwa ajili ya manufaa yao hasa kutawala watu.
Hata Mungu hayupo. Yesu na wenginek waliotajwa kwenye dini ni fictional characters
Inakuwaje watumishi wa Mungu muweza wa yote wanachangisha sadaka??Mganga si anatengeneza hela na utajiri hivi atakuwa na shida na 1.5m yako?
Mbona Mungu alieumba kila kitu anatutaka tumtolee sadaka?? Anataka sadaka ya nini wakati kila kitu,si atengeneze hizo sadaka badala atusumbue tumtoleeMganga si anatengeneza hela na utajiri hivi atakuwa na shida na 1.5m yako?
Mkuu apa utapata waganga matapeli wasomi waliokosa ajira,ila mganga halisi mitandao ya kijamii hua anaisikiaga tu smartphone anaweza asijue kbs ht kuitumiaaKama kuna mganga anaweza kunisaidia jambo langu.
nitamlipa 1.5 milioni nashida kweli kweli
Wengi walikuja lakini hawakuweza kunitapeli.Mkuu apa utapata waganga matapeli wasomi waliokosa ajira,ila mganga halisi mitandao ya kijamii hua anaisikiaga tu smartphone anaweza asijue kbs ht kuitumiaa
Zile sadaka unapigwa wanazigonga wanadamu tu. Mungu hata hazimfikiiMbona Mungu alieumba kila kitu anatutaka tumtolee sadaka?? Anataka sadaka ya nini wakati kila kitu,si atengeneze hizo sadaka badala atusumbue tumtolee
Nashida na Mawasiliano na wewe. Nayapataje? Nisaidie muhimu sanaKama mganga wako tapeli ni wewe buana, mganga wangu kiboko mwakani namnunulia passo.
Una shida na mimi au mganga wangu bro?Nashida na Mawasiliano na wewe. Nayapataje? Nisaidie muhimu sanaView attachment 3247137