Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna acha uongoWaje tu washambulie mkuu alafu niwaulize ni watu wangapi wameshindwa kuponea hospital na kwenda kuponea kienyeji /waganga watu wakiwa humu wanataka waonenekane kama malaika wametoka mbinguni
Mganga si anatengeneza hela na utajiri hivi atakuwa na shida na 1.5m yako?Kama kuna mganga anaweza kunisaidia jambo langu.
nitamlipa 1.5 milioni nashida kweli kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama mganga wako tapeli ni wewe buana, mganga wangu kiboko mwakani namnunulia passo.
Sitaki mganga wa kunipa pesa na utajiriMganga si anatengeneza hela na utajiri hivi atakuwa na shida na 1.5m yako?
Katapeliwaa Huyuu ,😅😅🤣🤣🤣🤣habari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.
hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.
nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa na mganga wake. ni vizuri wengine muione mjifunze jinsi waganga wanavyotapeli watu
View attachment 2830651waganga wanavyofanya kazi zao
Mkuu waganga wapo wa uhakika kabisa,
Yaani mkono kwa mkono,
Siku 3 unapata majibu.
Tatizo kuwapata ni ngumu sna,
Ila wapo na ushuhuda upo.
Mkuu waganga wapo wa uhakika kabisa,
Yaani mkono kwa mkono,
Siku 3 unapata majibu.
Tatizo kuwapata ni ngumu sna,
Ila wapo na ushuhuda upo.
Ktk dunia hii kama hujawahi kukutwa na jambo lolote linalohusu nguvu za giza basi usiseme kwa mganga haliwezekani.Wanaotoa ushuhuda ni madalali wa hao waganga
Ktk dunia hii kama hiujawahi kukutwa na jambo lolote linalohusu nguvu za giza basi usiseme haliwezekani.
Waganga wapo sana tena siku 3 tu.
Si Zaidi.
Mkuu mimi sikuja hapa kukwambiya mambo ya mganga wangu au nani sijuwi..Dalali wa mganga kazini.
Kama vitabu vya dini vinatambua uwepo wa uchawi na uganga, wewe ni nani haswa upinge?habari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.
hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.
nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa na mganga wake. ni vizuri wengine muione mjifunze jinsi waganga wanavyotapeli watu
View attachment 2830651waganga wanavyofanya kazi zao
Wewe ni dini gani?Ukweli mchungu